Hakika Mungu ametenda the surviving miracle
Welcome homeView attachment 1518563View attachment 1518564
Mwenyewe nawapongeza police kwa kutokuumiza raia wasio na silaha, maana wangetumia vurugu wangeharibu image ya taifa pia kuumiza walipa kodiPolisi mlichofanya leo ninawasifu. Mkifanya hivi kila siku hakuatakuwa na uvunjivu wa amani kabisa. Asante My President Dr Magufuli kwa kuwaagiza polisi wako watii sheria na katiba ya nchi. Ukiendelea hivi Raisi wangu kwa kuwaheshimu wapinzani Kura yangu nitakupa mchana kweupe maana ninajua wapinzani bado hawajakaa sawa kuchukua nchi. Tunachopenda ni amani na kutii katiba ya nchi. Leo nimefurahi sana kwa haya yanayofanyika bila bughuthi.
Unaanzane kuaga kwa Mfano wakati raisi wetu karejea.Zoezi la kuaga nasikia limevurugika
Ndumba zimeshaexpire we uoni ya kigamboni mwingine October yatosha.Kwa walilomfanyia lissu inabidi aconsult Mababu wa Congo au kakonko wampike na mtu yeyote atayemgusa ateketee yeye na ukoo wake wote ,ajiwekee tego la Ndizi kila ndizi ikidondoka inaodoka na mtu wa ukoo atakayemfanyia ubaya tena.
Aisew ni hatari..Hakyamungu Chuma kimetua, jamani MUNGU yupo, muuaji anajisikia vibaya sana saa hii, analia machozi na mda wowote mshtuko wa moyo unaweza mpata.
Acheni Mungu aitwe Mungu, loh, kuanzia leo naanza kusadiki Mungu yupo, anaishi!
Tena amualike ikulu wamywe chai pamoja kuzika tofauti hyo kitu itamjengea magufuli heshima maradufu na kufuta minong'ong'ono ya watu na atarudisha Imani kwa Raia wote wenye itikadi tofauti tofauti, jk alikuwa anawa Minya upinzani Ila kuwaita ikulu kukaa meza moja kizushi kulimjengea heshima mpaka Leo watu wanamkumbuka.
Nasikia leo uwanjani watu hata 50 hawafiki na mbaya zaidi ni waliovaa nguo za mbogamboga
Kila sababu mtatoa tu.Tundu Lisu Yeye kwake ndio Kuna corona ndio maana kaja kavaa barakoa Tanzania hatuna corona vyombo vyote vya kimataifa vitaona ushahidi wazi kuwa Tanzania corona haipo ipo Kwao tu Tundu Lisu katusaidia Kama nchi kujitangaza kuwa Tanzania Ni corona zero ila huko atokako corona iko kibao ndio maana kashuka na barakoa kuonyesha atokako Kuna Corona wakati watu wanaompokea hawajavaa barakoa.
BBC ,CNN, Aluazeera nk take note Tanzania is a Corona free country evidence Lisu arrival reception
True hivi ndivo polisi inatakiwa maadamu awafunji sheria waacheni jioni watalala wenyewe,unaleta maendeleo kwann uogope upinzani?Mwenyewe nawapongeza police kwa kutokuumiza raia wasio na silaha, maana wangetumia vurugu wangeharibu image ya taifa pia kuumiza walipa kodi
Niko mitaa fulani,jamaa kama 10 around wanafuatilia hili tukio wengi wao wakipangusa machozi!!!!!!
Amefika?
Gari watu wamesema hakuna kujaza mafuta lina sukumwa tu hadi ufipaviva chadema
Walidhani uchaguzi mkuu ni sawa na uchaguzi wa serikali za mitaa.Kina silinde kina nassar katambi wanatamani tu warud cdm ila muda autoshi dadeki zaooo
Zile dawa zako za kutuliza kichaa leo umekumbuka kumeza?
Udikteta uletae ufukara nchini,kwa kuwasomesha namba watu ili wawe masikini ili watawaliweUhuru wa nchi gani mkuu?