Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Tundu Lisu Yeye kwake ndio Kuna corona ndio maana kaja kavaa barakoa Tanzania hatuna corona vyombo vyote vya kimataifa vitaona ushahidi wazi kuwa Tanzania corona haipo ipo Kwao tu Tundu Lisu katusaidia Kama nchi kujitangaza kuwa Tanzania Ni corona zero ila huko atokako corona iko kibao ndio maana kashuka na barakoa kuonyesha atokako Kuna Corona wakati watu wanaompokea hawajavaa barakoa.

BBC ,CNN, Aluazeera nk take note Tanzania is a Corona free country evidence Lisu arrival reception
 
Polisi mlichofanya leo ninawasifu. Mkifanya hivi kila siku hakuatakuwa na uvunjivu wa amani kabisa. Asante My President Dr Magufuli kwa kuwaagiza polisi wako watii sheria na katiba ya nchi. Ukiendelea hivi Raisi wangu kwa kuwaheshimu wapinzani Kura yangu nitakupa mchana kweupe maana ninajua wapinzani bado hawajakaa sawa kuchukua nchi. Tunachopenda ni amani na kutii katiba ya nchi. Leo nimefurahi sana kwa haya yanayofanyika bila bughuthi.
Mwenyewe nawapongeza police kwa kutokuumiza raia wasio na silaha, maana wangetumia vurugu wangeharibu image ya taifa pia kuumiza walipa kodi
 
Kwa walilomfanyia lissu inabidi aconsult Mababu wa Congo au kakonko wampike na mtu yeyote atayemgusa ateketee yeye na ukoo wake wote ,ajiwekee tego la Ndizi kila ndizi ikidondoka inaodoka na mtu wa ukoo atakayemfanyia ubaya tena.
Ndumba zimeshaexpire we uoni ya kigamboni mwingine October yatosha.
 
Tena amualike ikulu wamywe chai pamoja kuzika tofauti hyo kitu itamjengea magufuli heshima maradufu na kufuta minong'ong'ono ya watu na atarudisha Imani kwa Raia wote wenye itikadi tofauti tofauti, jk alikuwa anawa Minya upinzani Ila kuwaita ikulu kukaa meza moja kizushi kulimjengea heshima mpaka Leo watu wanamkumbuka.

Bahati mbaya yeye hashaliki wala hasikilizi ushauri, ukimshauri ndio umeharibu kabisaa
 
Nasikia leo uwanjani watu hata 50 hawafiki na mbaya zaidi ni waliovaa nguo za mbogamboga

😃 mumekosa la kusema..
Rais amefariki.. jitulize.. wewe shangilia "mwanaume amerudi".. 2020 Magufuli mpenda haki na amani na bingi teletele..
 
Tundu Lisu Yeye kwake ndio Kuna corona ndio maana kaja kavaa barakoa Tanzania hatuna corona vyombo vyote vya kimataifa vitaona ushahidi wazi kuwa Tanzania corona haipo ipo Kwao tu Tundu Lisu katusaidia Kama nchi kujitangaza kuwa Tanzania Ni corona zero ila huko atokako corona iko kibao ndio maana kashuka na barakoa kuonyesha atokako Kuna Corona wakati watu wanaompokea hawajavaa barakoa.

BBC ,CNN, Aluazeera nk take note Tanzania is a Corona free country evidence Lisu arrival reception
Kila sababu mtatoa tu.
 
Mwenyewe nawapongeza police kwa kutokuumiza raia wasio na silaha, maana wangetumia vurugu wangeharibu image ya taifa pia kuumiza walipa kodi
True hivi ndivo polisi inatakiwa maadamu awafunji sheria waacheni jioni watalala wenyewe,unaleta maendeleo kwann uogope upinzani?
Siku zote polisi ndio chanzo cha vurugu, Hakuna mtz yeyeto apendae vurugu
 
Waliokwenda kumlaki Lissu wakirudi majumbani kwao wajiulize wamefaidikaje, wakati viongozi wao na Lissu mwenyewe watakuwa wanakula bata kwenye chumba chenye kiyoyozi.

Wajinga ndiyo waliwao, maana naona kundi linasaga lami kama wakati ule mgombea alidekiwa barabara ya lami aweze kupita.

Kama nilivyotoa angalizo awali kuwa matarajio ya mkakati wa CHADRMA utabuma kwani Serikali imepuuza ujio wa Lissu.
 
Back
Top Bottom