Tuliza kende wewe, Kesho tunakuja hapo Uhuru stadium, tutamuaga huyo marehemu wenu
 
Wala hoja yako sio Corona, bali idadi iliyojitokeza kumpokea Lissu bila vurugu. Imebidi uje na huu uzi wa kupoza machungu. Ww si ndio ulileta uzi wa vitisho vya kijinga jana?
Katika hii mada ni kipi ambacho si cha kweli mkuu?
 
Sindano imekuingia vyema wewe
 
Lile shangwe tu limetosha mbona BBC na Al-Jazeera wanasema he deserves to be a president
Kwa hiyo bbc na aljezeera wakisema na wewe unatik kabisa...huu utumwa wa akili utu uzimani ni aibu kwa familia yako
 
Kichaa chako kitapona tu
 
Acha kumlisha maneno Lissu, nimesikiliza hotuba nzima
Baadae amesema licha ya kuwa BWM alikuwa mwenyekiti wa CCM, alikuwa rais wetu, kwahiyo huu ni msiba wetu wote!. akakumbusha kuwa ndiye rais wa kwanza wa kipindi cha vyama vingi, na akamsifu kuwa ukiacha mapungufu machache ya kibinadamu alikuwa na nafuu kwenye kudeal na wapinzani kuliko utawala wa awamu hii ya tano.

Kwa hiyo akasema, hana budi kwenda kutoa heshima yake kwa raisi wetu huyo wa awamu ya Tatu.

Mleta mada hebu ona aibu usilishe watu maneno

Hiyo video nzima ipo kwenye ukurasa wa facebook wa BBCSwahili unaweza kusearch face ukaona alichokisema chote!
 
Haya hatutasema juu ya corona, kijoa then kalale
 
Mataga wamepigwa sindano ya ganzi baada ya watu wengi sana kujitokeza kumpokea mh Lissu.

Waliamini kabisa kuwa watu watakataa kwenda maana maccm wanajidanganya kuwa cdm imekufa.
Acha kupotosha, ukipotosha inakusaidia Nini?? Kawapa pole CCM kwa kupoteza Mkiti wa chama chao wa Miaka kumi.
 
Huyu hasikubabaishe,anatafuta kiki kwa lazima kwa ushauri wangu kwa rais hasishughulike nae hata kidogo mpaka siku ya kesi yake itakapotajwa ili awajibike kwa kutoroka baada ya kudhaminiwa sheria inataka agende jela miezi mitatu.
Nguruwe bhana Mara ooh atakamatwa airport ujinga mtupu gutuka wenxio polis waneona ujinga kutumiwa kana toilet paper
 
Eti wazungu washenzi, wakati kila siku mnawapelekea bakuli lenu kuwapigia magoti
Msitetemeke na maneno ya hiyo muhaini wa nchi, MUNGU anamuona na atamhukumu vile vile,chuki zake ni uchu wa madaraka na kwa sasa atasema lolote ilmradi wazungu washenzi wamsikie na kumsifia
 
Huyu hasikubabaishe,anatafuta kiki kwa lazima kwa ushauri wangu kwa rais hasishughulike nae hata kidogo mpaka siku ya kesi yake itakapotajwa ili awajibike kwa kutoroka baada ya kudhaminiwa sheria inataka agende jela miezi mitatu.
Lazima mtage mayai safari hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…