Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Hiyo ndiyo kazi yao maana ni usalama wa raia na mali zao
Thanks, we are waiting for the updates.
Ila huku Nyerere Road kuna movement ya magari ya polisi, to-and-from JNIA, sijui ni kawaida kwa barabara hii?
 
Leo Lissu anakaribishwa na yale mabombadias yakiwa yako doro hapo uwanjani, labda kama wameyaondoa jana usiku.
 
Chadema haina watu wa aina yako unaye jiita kajamba nani, sisi chadema tunajitambua
Mbowe amewasili hapo uwanjani?

Au ndiyo mnataka kututumia sisi akina kajamba nani ili tukung'utwe na wazee wa vibaka vyekundi ili kutangaza jina la chama
 
Cha kwanza akitua lazima aisifie Airport yangu kuwa ni nzuri kushinda ya beberu la sivyo abaki hukohuko angani.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tangu ulipo zalishwa na jamaa wa cdm basi kila mwana cdm ni adui yako!
Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais,wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono
 
Nyie si ndiyo mliyokuwa mking'ang'ania lock down!! Au covid19 imeisha!!

Polisi wamezuia hiyo mikusanyiko isiyo na kibali. Mkikusanyika ni kutotii amri ya polisi hivyo kipigo cha mbwa mwizi ni halali yenu

Lockdown ilikuwa wakati serikali imetangaza, na sasa serikali imetangaza Corona imeisha, na ndio maana wanafunzi hadi wa chekechea wamerejea shuleni. Na michezo inaendelea hata wakati huu wa msiba.

Hakuna mkusanyiko wowote maana hamna hotuba inaenda kutolewa hapo, zaidi ya kumpokea Tundu Lisu kwa amani. Polisi wamepiga marufuku mikusanyiko ili wawafurahishe au kwa maagizo ya wanasiasa wa ccm. Kama polisi kweli wanajua wajibu wao, leo hii kwa kushirikiana na PCCB, wangekuwa wamewafikisha mahakamani watia nia wa ccm waliokuwa wanagawa rushwa kama njugu. Kinyume na hapo, ni kuwa jeshi la polisi linatumikia siasa chafu, kwa maagizo ya ccm fullstop.
 
Nyie si ndiyo mliyokuwa mking'ang'ania lock down!! Au covid19 imeisha!!

Polisi wamezuia hiyo mikusanyiko isiyo na kibali. Mkikusanyika ni kutotii amri ya polisi hivyo kipigo cha mbwa mwizi ni halali yenu
Ule mkusanyiko wa kumuaga MFITINI wa Wazanzibari huko uwanja wa Taifa unakibali cha mapolisi-CCM? Acha bange Mkuu.
 
Hii Ni Saa 6 Mchana Makomandoo Wa Mitandaoni Wamenywea....Hawajatokea......HATA huku KARAKATA HAWAONEKANI....

Ni Sugu TU na wale WASHARISHARI wanne.......
 
Back
Top Bottom