EGO REAL ESTATE
Member
- Jun 25, 2024
- 81
- 80
- Thread starter
-
- #81
Mkuu kila kitu kipo clean Mahakama imetoa hukumu,Mdaiwa alishapewa notisi,Tangazo lilishatolewa Hapo anatafutwa Mteja tuKama haina utapeli Atakaenunua atakuwa kaokota dodo.
Kwa size ya kiwanja na eneo ilipo nyumba Bei ni rahisi mno.
Na pia kuna eneo kubwa sana la serikaliKuna utapeli sana huko, kuweni makini
Na Hili ni la NANI?Na pia kuna eneo kubwa sana la serikali
Sio hapo tu serikali ina maeneo mengi kila pahala hapa nchini na raia pia wana maeneo mengi wanayoyamiliki kihalali, Jambo la muhimu ni kubaini ni wapi mali ya serikali wapi mali ya wananchi,Nafikiri mpaka mtu anajicommit kuja kununua eneo kubwa kama hili lazima atakua anielewa na kujua njia zipi za kufauata kumiliki ardhi ki halali.Na pia kuna eneo kubwa sana la serikali
Ekari moja milioni tatu,je ukata kidogo kidogo au lazima mtu achukue lote?
Ni la Wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Na Hili ni la NANI?
Mkuu lina uzwa lote ukiwa serious hata kwa mln 120 unachukua hekari zote 50Ekari moja milioni tatu,je ukata kidogo kidogo au lazima mtu achukue lote?
Hilo eneo ni mali ya nchi ya Zanzibar.Shamba Linauzwa Vigwaza Lipo maeneo ya jirani na Bandari Kavu-Kwala.
Shamba lina ukubwa Heka 50
Linauzwa lote sh. Mln 150
Lipo Nyuma ya Industrial Area
Umiliki ni Nyaraka za Mkataba wa Mauziano ya Serikali ya mtaa.
0675 065906
Mkuu nilitoa tu tahadhari ya jumla na wala sikulenga eneo lako. Nadhani unafahamu kuna maeneo yalikuwa ya vijiji lakini hapa karibuni serikali ikasema ni mali yake na sina uhakika kama hili limeshatatuliwa.Sio hapo tu serikali ina maeneo mengi kila pahala hapa nchini na raia pia wana maeneo mengi wanayoyamiliki kihalali, Jambo la muhimu ni kubaini ni wapi mali ya serikali wapi mali ya wananchi,Nafikiri mpaka mtu anajicommit kuja kununua eneo kubwa kama hili lazima atakua anielewa na kujua njia zipi za kufauata kumiliki ardhi ki halali.
Sawa ndugu MpembaHilo eneo ni mali ya nchi ya Zanzibar.
Ni wapuuzi sanaNawachukia san madalali
950,000,000 za Kitanzania loh aridhi tupu kigamboni madalali mna roho ngumu.KIGAMBONI FUNCITY -PLOT FOR SALE
[emoji830]︎ENEO LIPO MAZINGIRA MAZURI SANA YA KIBIASHARA! LINATIZAMA BARABARA KUBWA YA LAMI OPPOSITE NA PETROL STATION
[emoji830]︎UKUBWA WA ENEO NI SQM 6405
[emoji830]︎KIWANJA KIMEPIMWA KINA HATI SAFI YA WIZARA
PANAFAA KWA
☆Shule
☆Petrostation
☆Frame za biashara
☆Air BnB
☆Apartments
☆Hotel
☆Showroom/Yard
☆Garage / Car wash
☆PRICE: TSH MILIONI 950(MAONGEZI YAPO)
Kwa maelezo zaidi ikiwa nipamoja na kwenda kupaona karibu tuwasiliane
Call, Text, WhatsApp
+255 675 06 59 06