Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani
Kama haina utapeli Atakaenunua atakuwa kaokota dodo.

Kwa size ya kiwanja na eneo ilipo nyumba Bei ni rahisi mno.
Mkuu kila kitu kipo clean Mahakama imetoa hukumu,Mdaiwa alishapewa notisi,Tangazo lilishatolewa Hapo anatafutwa Mteja tu
 
Shamba Linauzwa Vigwaza Lipo maeneo ya jirani na Bandari Kavu-Kwala.
Shamba lina ukubwa Heka 50
Linauzwa lote sh. Mln 150
Lipo Nyuma ya Industrial Area
Umiliki ni Nyaraka za Mkataba wa Mauziano ya Serikali ya mtaa.

0675 065906
1720508890656.jpg
1720451517651.jpg
1720451521480.jpg
 
Na pia kuna eneo kubwa sana la serikali
Sio hapo tu serikali ina maeneo mengi kila pahala hapa nchini na raia pia wana maeneo mengi wanayoyamiliki kihalali, Jambo la muhimu ni kubaini ni wapi mali ya serikali wapi mali ya wananchi,Nafikiri mpaka mtu anajicommit kuja kununua eneo kubwa kama hili lazima atakua anielewa na kujua njia zipi za kufauata kumiliki ardhi ki halali.
 
Sio hapo tu serikali ina maeneo mengi kila pahala hapa nchini na raia pia wana maeneo mengi wanayoyamiliki kihalali, Jambo la muhimu ni kubaini ni wapi mali ya serikali wapi mali ya wananchi,Nafikiri mpaka mtu anajicommit kuja kununua eneo kubwa kama hili lazima atakua anielewa na kujua njia zipi za kufauata kumiliki ardhi ki halali.
Mkuu nilitoa tu tahadhari ya jumla na wala sikulenga eneo lako. Nadhani unafahamu kuna maeneo yalikuwa ya vijiji lakini hapa karibuni serikali ikasema ni mali yake na sina uhakika kama hili limeshatatuliwa.
 
KIGAMBONI FUNCITY -PLOT FOR SALE

▪︎ ENEO LIPO MAZINGIRA MAZURI SANA YA KIBIASHARA! LINATIZAMA BARABARA KUBWA YA LAMI OPPOSITE NA PETROL STATION
▪︎ UKUBWA WA ENEO NI SQM 6405
▪︎ KIWANJA KIMEPIMWA KINA HATI SAFI YA WIZARA

PANAFAA KWA

☆Shule
☆Petrostation
☆Frame za biashara
☆Air BnB
☆Apartments
☆Hotel
☆Showroom/Yard
☆Garage / Car wash

☆PRICE: TSH MILIONI 950(MAONGEZI YAPO)

Kwa maelezo zaidi ikiwa nipamoja na kwenda kupaona karibu tuwasiliane

Call, Text, WhatsApp
+255 675 06 59 06

IMG-20240719-WA0003.jpg
IMG-20240719-WA0002.jpg
 
Hapo SQM moja ni sawa na sh ngapi, ni zaidi ya laki 1, 🤔 tusiokuwa na hela tukae kimya tu, tuwaache wenye fedha waje.
 
Kwa upande wangu sioni ubaya wowote wa dalali ikiwa mnunuzi ataridhia mwenyewe pasipo kulazimishwa
 
Opposite na hiyo petrol station ya tsn kuna bonde kubwa tu mbona ww umepost picha inayoonyesha papo tambarare
 
KIGAMBONI FUNCITY -PLOT FOR SALE

[emoji830]︎ENEO LIPO MAZINGIRA MAZURI SANA YA KIBIASHARA! LINATIZAMA BARABARA KUBWA YA LAMI OPPOSITE NA PETROL STATION

[emoji830]︎UKUBWA WA ENEO NI SQM 6405

[emoji830]︎KIWANJA KIMEPIMWA KINA HATI SAFI YA WIZARA

PANAFAA KWA
☆Shule
☆Petrostation
☆Frame za biashara
☆Air BnB
☆Apartments
☆Hotel
☆Showroom/Yard
☆Garage / Car wash

☆PRICE: TSH MILIONI 950(MAONGEZI YAPO)

Kwa maelezo zaidi ikiwa nipamoja na kwenda kupaona karibu tuwasiliane

Call, Text, WhatsApp
+255 675 06 59 06
950,000,000 za Kitanzania loh aridhi tupu kigamboni madalali mna roho ngumu.
 
Back
Top Bottom