Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Marekani ni Baba wa Democrasia, anayoyafanya Mange ndio yanampa uhalali wa kubaki Marekani na kulindwa na FBI.
 
Chaguzi za nchi kuporwa hakuwaumi, Wala fedha za wananchi kuporwa na wajanja hakuwaumi, ila matusi ndio mnajifanya yanawauma sana.
 
Hayo matusi yaliyonyamaziwa na wanaharakati wa haki za binadamu Yako wapi tuonesheni anaetukana Ili wamkemee au mnataka wakemee upepo?
πŸ†’πŸ“πŸ”ŠπŸ‘πŸ€πŸ›‘οΈ
 
Yule Dem wamteke,wamgonge matundu yote wakimrekodi,wamtue kkoo uchi,wamlazimishe apost kwenye akaunti zake,Kisha wajifanye kumkamata na kumfungulia mashtaka,ambayo Nina hakika yatafika 200,wamfunge maisha jela
Yule ana watu nyuma yake,, hajiamini hivihivi tu
 
Wanaharakati ndio zao, hukaa kimya pale upande wanaoupinga ukiwa unadhalilishwa kwa matusi ya nguoni, "mara nyingi Wanaharakati hawako "centered " katika harakati zao, huu ndiyo upumbavu wao!
Hao wanaharakati wanajishughulisha na mambo rasmi, sio huo uhuni wenu wa huko Mitandaoni.
 
Labda Bashite yupo sahihi. Maana Rais anaandamwa from no where
 
mkuu unasema wanaume waandika "da mange" bora nilijitoaga kwenye huo mtandao mapema,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…