Wapumbafu ni hao waliomteka nyara huyo dogo na kupotea naye kusikojulikana. Kwao hii ni marudio maana walifanya hivyo na Ben Sanane pia.

Vipi ndugu na Job Yustino Ndugai naye mko naye chobingo?
 
Jamaa asingeweza kufanya reaction kubwa namna hiyo.
Hapo kuna mawili...
Dogo alileta dharau ya moja kwa moja.
Au jamaa aliamua tu kumkomalia kwasababu ana ki IST

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Dogo kaongea akiwa calm muda wote.

Hawa ndiyo wale wa unanijua mimi nani?

Kwani ni wageni kwa nani mabazazi hawa?
 
kwa zama hizi dhaifu, kila mmoja wao atakuwa Mungu Mtu
 
Hakika dogo kaonewa,inakuaje traffic case umtoe mtuhumiwa eneo la tukio hadi hapo tiss!wavaa magwanda wetu na wengine wote wanaojiona wako juu ya sheria wangejifunza kutoka kwa wenzetu kwani hizo nafasi awatokaa milele,wangefikiria new generation zao na zenyewe zitakua kama wao,wenzetu wanajenga maadili ya nchi zao kwa kuangalia future,africa tuko kwenye ujima sana!
 
Unajuaje kama walitaka kumuhifadhi hapo ili waite traffiki?
Hii hoja no nzito Sana kwako na Kwa jinsi unavyoijibu ni Kama wewe ndiye huyo tiss muoneaji! Hapo makumbusho kwenye mataa ya kuingia stand ya daladala Kuna kibanda Cha traffic polisi. Kama kweli hawana Nia ovu ni kwanini hawakuwashirikisha polisi waliopo mitaa hamsini kutoka geti lao?
Wametumia mamlaka Yao kiubatili na zoezi lote linabaki kuwa batili!
 
Duh mwisho wa siku ikawaje, wanaboa sana hawa jamaa sipendi uonevu wa kishamba
 
Unarekodi maeneo ya Usalama?
Au hakujua kama hapo ni Usalama wa taifa?

Anyway alivyowaona hao wanajeshi kwanini asingezima kamera yake?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Kwanini hao wanajeshi wasinge mtaarifu kuwa hapa haparuhusiwi kupiga picha?

Wao si ndiyo walio mtakatifu kuingia huko? Kwani yeye alikuwa na biashara huko?

Taratibu zao dogo ambaye hakuwa na ugeni huko angezijulia wapi?

PGO yao inasema je?
 
Dogo kaongea akiwa calm muda wote.

Hawa ndiyo wale wa unanijua mimi nani?

Kwani ni wageni kwa nani mabazazi hawa?
Narudia tena huko barabarani, hujagongwa, hujagonga! Keep ur mouth shut! Endelea na mambo yako!!!

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Makosa ya barabarani adhabu yake inajulikana dogo aadhibiwe kwa kosa lake kama alifanya kweli na hao wazee wa "unanijua mimi nani" wawajibishwe kwa ushamba wao,kosa la barabarani mnamkamata mtu kwa mikwara na ak 47 juu!
Kuna mahali wamesema unanijua mimi ni nani?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…