Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hao usalama inakuaje traffic case waipeleke ofisini kwao,polisi awakukuona au kama wasingekua na nia ovu na huyo kwanini wasingechukua namba ya gari na kukabidhi kwa trafiki polisi,hao walitaka kumuonyesha huyo dogo wao ni nani while hamna aliye juu ya sheria,mkishavaa hivyo vigwanda vyenu mnajiona mnaweza kufanya lolote na ndio maana wenzenu wananyea debe mtwara huko kwa ujinga kama huuUnarekodi maeneo ya Usalama?
Au hakujua kama hapo ni Usalama wa taifa?
Anyway alivyowaona hao wanajeshi kwanini asingezima kamera yake?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tuna sheria mbovu kidogo ndani ya hii nchi.Hio inakua kesi ingine lakini kesi ya kwanza ni ya matumizi mabaya ya madaraka ya huyo jamaa mwenye panki..tatizo hauzijui haki zako..
Inawezekana hatujaelewana.Siyo rahisi kumgonga mwenda kwa miguu dereva akiamua? Hapo ndio uwezo wako wa kufikiri unapoishia? Fikiri tena.
Katiba mpya ya Kenya imesababisha waishiwe mafuta ya Petrol.
[emoji3][emoji3] Naona walikuwa favoured na mazingira tu!!Hao usalama inakuaje traffic case waipeleke ofisini kwao,polisi awakukuona au kama wasingekua na nia ovu na huyo kwanini wasingechukua namba ya gari na kukabidhi kwa trafiki polisi,hao walitaka kumuonyesha huyo dogo wao ni nani while hamna aliye juu ya sheria,mkishavaa hivyo vigwanda vyenu mnajiona mnaweza kufanya lolote na ndio maana wenzenu wananyea debe mtwara huko kwa ujinga kama huu
Inawezekana hatujaelewana.
Au unazungumza nje ya video?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tuna sheria mbovu kidogo ndani ya hii nchi.
Hiyo haki yako hadi uje uipate kwa mazingira hayo ni parefu.
Naona hujamgonga mtu, hajakugonga no need kubishana!! Endelea na mambo yako.
Huyo dogo alijua kabisa nini kitafuata ndio maana akaendelea kurekodi!!
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ushamba tuUnyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
View attachment 2182373
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Tusiokuwa na wajomba tuna koment wapi?Mjombangu mbunge atakuja kunitoa[emoji1787][emoji1787]
Kwani Katiba ya sasa inaruhusu hayo mambo yawepo ?Kwenye Katiba Mpya haya ni ya kuzingatia
😂😂😂nimecheka jamaniLady gaga anamaoni gani kuhusu tukio hili?
Wajomba kazi mnayoMjombangu mbunge atakuja kunitoa🤣🤣
Tusiokuwa na wajomba tuna koment wapi?
Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
View attachment 2182373
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Tiss wana mambo mengi ya kufanya sio kudeal na vitu kama hivi,it seem kwa mtindo huu kuna wengi sana wanaofanyiwa ujinga kama huu coz mtu yeye mtu flan basi anajiona anaweza kufanya lolote,hao jamaa wawajibishwe ikiwezekana wahamishiwe jeshi la zima moto huko ili wawe mfano kwa wengine,tiss unadeal kukamata gari while hujui watu wanapitisha vipi magendo airport na vipi watu wanakwepa kodi!wanaidhalilisha tiss kwa ujinga wao[emoji3][emoji3] Naona walikuwa favoured na mazingira tu!!
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
kabisa anajihami baada ya kujua kosa lakeDogo nae alizingua huo mnyama hata na yeye hakujiongeza kidogo ye analeta kidomo domo chake eti kisa msukuma ni mjomba ake[emoji23][emoji23], ngoja akale kazi.
Hao walikuwa kwenye msafara wa mnadhimu wa jeshi, huyo dogo nadhani utoto ulimsumbuaTatizo jamaa wengi wao ni washamba halafu waoga angalia hapo wamejazana kibao na bunduki juu kukabiliana na mtu mmoja ambaye labda hana hata kiwembe.
Tuombe Mungu sana tusivamiwe na adui tukiamini hao jamaa kazi yao kubwa ni kuonea raia tu