Katiba iliyopo inaruhusu watu wa hovyo kujimilikisha nchi.

Wakisha jimilikisha nchi inakuwa kama ndiyo tumewachagua:

View attachment 2182663

Hivyo haya mengine yanafuata mkondo wake kama asemavyo huyo mwanazuoni.
Mwanazuoni kasema tunachagua watu wa hovyo kisha tunalalamika hovyo, so hata katiba mpya ikitoka peponi haiwezi kukupangia mtu wa kumchagua. Kama mgombea ni wa hovyo atabaki kuwa wa hovyo.
 
Mwanazuoni kasema tunachagua watu wa hovyo kisha tunalalamika hovyo, so hata katiba mpya ikitoka peponi haiwezi kukupangia mtu wa kumchagua. Kama mgombea ni wa hovyo atabaki kuwa wa hovyo.

Umeweza kusoma nilichoandika au umemsoma mwanazuoni tu?



Rejea bandiko langu lote kwenye hilo tafadhali.
 

Unapoteza muda wako bure!
Labda Kama unajifurahisha tuu kujibishana naye
 
Huyu aliyefungua uzi huu alidhani walikuwa wanajeshi lakini baadaye zilifunguliwa nyuzi nyingi kuhusu hao jamaa na inasemekana walikuwa ni watu wa usalama wa taifa.

Hata mgambo ni wajeshi mjomba au wewe magereza au zimamoto siyo?

Wabongo kwenye ubora wetu wajuzi zaidi nyie.

Kazi kweli kweli.
 
Combats tokea upande wa pili na bunduki hakuwa na namna.

Makosa aliyofanya ni pamoja na kuendelea kuifuata kwa nyuma gari ile. Kusubiri nyuma hata iliposimama. Yote akiamini hana makosa.
Hasira hasara! Jamani tuwe wanyenyekevu hata kama tumedhurumiwa. Dunia imekwisha hii, kila siku ni vifo vya ajabu ajabu kwenye matukio kama haya!
 
Hawa jamaa zangu kuna wakati huwa wanafanya mambo kimangimeza sana.

Kuna usalama taifa wako vuzuri, ila wengine wanakuwa malimbukeni na kujifanya wao ndio wenye haki barabarani.

Hii kawaida sana kukuta JWTZ au UT wanapita wrong road side bila king'ora wakiwa speed.
 
Hata mgambo ni wajeshi mjomba au wewe magereza au zimamoto siyo?

Wabongo kwenye ubora wetu wajuzi zaidi nyie.

Kazi kweli kweli.
Ni kweli usemayo lakini imekuwa ni mazoea linapotajwa jeshi basi watu wengi tumekuwa tukimaanisha Jwtz na wewe unafahamu nafikiri sio hoja ya kuanza kubishana.
 
Wabishi kama hawa uwaga wanakula njugu tu kisha anaandikiwa kesi tu. Bahati yake ana mjomba mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…