Sitazungumzia Sana hili tukio,kwasababu sielewi kisa kizima toka mwanzo.
Ila pia kijana Kama huyu kumuonesha mabunduki ka hayo kwa kosa la barabarani😲,SI SAWA.

NILIZALIWA TANZANIA SIYO KWA KUPENDA,au kujiamulia,hii nchi ni yetu wote tuheshimiane.
 
Na maisha yanasonga vizuri tu Mkuu😄😃
Huvunjiki popote yani, kuepuka un-neccessary fights ni hekima ambayo tumejaaliwa watu wachache mno.

Tunawajua jamaa ni wapenda sifa na katika mizania tu dogo yupo katika risk kubwa kuliko alivyokuwa anadhania. Yani hapo angeweza kufanywa jambo baya tu style ya Akwelina ile sababu ya kuvimba tu kusiko na maana. Nobody cares this time around.
 
Hii nchi ina wajinga wengi sana na ndio wanawapa kichwa watu kama hao.
Kuna sheria inalazimisha kurekodi ukichomekewa gari?

Kwanini usiamini maneno yake unataka uamini nini. Hata kama maneno yake ni uongo, ni sheria gani inasema raia yeyote asimamishe gari barabarani na kuamrisha liingie sehemu anayotaka yeye?
 
Hujamsikia huyo muoga anayepiga kelele mwenzake aombe msamaha tu?!
 
Wangesimama hapo waite askari wa barabarani kweli tungeona kuna haki inataka kutendeka. Lakini mtuhumiwa kuanza kutumia mamlaka yake inaleta walakini mwingi. Kurekodi tukio hakuna sheria inayokataza.
 
Wewe mpumbavu hapo kuna ishara, bango au kibao kinachoonyesha ni eneo laUsalama wa Taifa?
Watu wanachukua video Langley kwa CIA ndio uje kutishia watu na hapo.
Mshamba kweli wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…