Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Tusaidie kifungu kinachowapa mamlaka ya kukamata magari.Usalama wa taifa ni ulinzi wa kila kitu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusaidie kifungu kinachowapa mamlaka ya kukamata magari.Usalama wa taifa ni ulinzi wa kila kitu!
FreshiBasi tusubiri mrejesho
Hatari sana,hao ni vilaza tu,tatizo la kuajili kindugu,Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
View attachment 2182373
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Mfano nchi ipi?
Huvunjiki popote yani, kuepuka un-neccessary fights ni hekima ambayo tumejaaliwa watu wachache mno.Na maisha yanasonga vizuri tu Mkuu😄😃
Sio , huyo ni wakili tu.
Kuna sheria inalazimisha kurekodi ukichomekewa gari?
Kwanini usiamini maneno yake unataka uamini nini. Hata kama maneno yake ni uongo, ni sheria gani inasema raia yeyote asimamishe gari barabarani na kuamrisha liingie sehemu anayotaka yeye?
We unategemea hata trafiki angekuja akakuta jamaa ni usalama angekuwa upande wa hio IST? Unless uwe mgeni Tanzania hii!!!Alaf traffic atoe maamuz kwa kuzingatia ushahid upi?
Sizan kama uwa wanafanya hvyo kaz
Hapa ilibidi akimbie,mpaka ubalozi wa USA,pale Kuna Kituo Kituo kikubwa Cha polisi,Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
View attachment 2182373
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Makosa yanaweza kutokea pande zote hao ndugu zetu katika medani ila hata huyo bwana na ist yake ni wale wale tu,pale aliposema mjomba wangu mbunge atanitoa nikaona baasi huyu ni aina ya wale watu wasumbufu hadi mtaani kisa tu anajuana na fulani kisa tu yeye fulani kisa tu ana watu fulani ikumbukwe kuna wakati mpaka uwapate hao watu wa kukusaidia ushachakaa vibaya mno huyo bwana ist nae wale wale
Wangesimama hapo waite askari wa barabarani kweli tungeona kuna haki inataka kutendeka. Lakini mtuhumiwa kuanza kutumia mamlaka yake inaleta walakini mwingi. Kurekodi tukio hakuna sheria inayokataza.Tofauti na hayo maneno unayoongea kuwa "amenichomekea" hakuna kinachoonekana , wewe ndio unaonekana mtu wa shari baada ya kufanya kosa unaanza kutoa simu kurekodi, hapo unasema alitaka kukugonga wakati ana park ili aweze kukuhoji kwa ufedhuli ulioufanya
Mi sijaelewa kosa lake ni nini hapoHuyo dogo anaonekana anakiburi!
It’s obvious yeye ndo alikuwa na makosa
Hata ingekua ni mimi, bapiga simu kwa ndugu wa karibu namwambia tukutane kituo chochote cha polisi cha karibu, kisha naenda huko kituoniAlikubalije kupeleka gari ndani?
Mjomba ake mbunge atamtoa tu.....
Mbona vijana mnakuwa wapumbavu na wajinga kiasi hiki cha lami? Do we read kweli sheria?
Hivi unajuwa usalama wa Taifa nieneo hatari kurecord au kufanya chochote?
Unajuwa kwakufanya kosa hilo unaweza kupotea natusikuone mpaka kiama pasipo jali wewe ni mtoto wa nani?
Je unajuwa maeno kadhaa ktk jiji la dsm nihatari hata kupak gari nje?
Je unajuwa call zote na watu wanapita nje ya ofisi za usalama wa Taifa zinakuwa intercepted kutoka mbali sana?
Haya utampigia mjomba wako mbunge... Kwa ujinga na upumbavu wako.
Usalama wa taifa ni ulinzi wa kila kitu!
Pia wako juu ya Sheria?