Dogo anataka kutafuta haki Jeshin alete mrejesho sasa.
Kwenye maisha ukijifanya Sana mtu wa kutii tii Sana utaonewa Sana.
 
Kupiga picha maeneo ya usalama.

Kuna maeneo kisheria huwezi kupiga picha.
Mfano; Vituo vya Polisi +majeshi yote.
Bank n.k

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hilo la picha wala sio kosa lake coz yeye alikuwa barabarani wao ndio walimkatisha na kumlazimisha kuingia ndani yaliyotokea baada ya hpo ni upumbavu wa hao wanaojiita tiss.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Unajuaje kama dogo aliwatukana?
Kuna uwezekano mzozo haujaanzia kwenye kuchomekeana tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata tuseme ni kweli aliwatukana,Sasa mtu kukutukana tu ndio mumshukie wengi hivyo kama mmeona gaidi? Punguzeni arrogance wana usalama wetu, mnapenda sana kudeal na vitu petty na kuoneshana umwamba, hii nchi ina mambo mengi sana ya kushughulikia, watu wa muhimu mliopewa dhamana mnapambana na watukanaji barabarani. Haiingi akilini kosa la kutukana adhabu yake iwe hiyo "chaos" yote iliyotokea hapo.

Kutukana mbona mnatukanwa na wake zenu na waume zenu kila siku majumbani na hamna kitu mnafanya?

Viti vya ofisi za umma vinakaliwa na washamba na malimbukeni!
 
Hapo ni usalama wa taifa
Hata kama ni usalama
Tatizo jamaa wengi wao ni washamba halafu waoga angalia hapo wamejazana kibao na bunduki juu kukabiliana na mtu mmoja ambaye labda hana hata kiwembe.
Tuombe Mungu sana tusivamiwe na adui tukiamini hao jamaa kazi yao kubwa ni kuonea raia tu
Na wengi wao huwa ni wakuja ndo huwa na mambo hiz.
Huwezi kuta askari aliyezaliwa mjini akawa mnoko wao huwa bize na pesa na sio bize na unoko
 
Na kuna wale wa #katibampya wanalaumu hao TISS kwamba wamemuonea huyo kijana hata bila kujua upande ulifanya hivyo kwa sababu ipi.

Mnataka katiba mpya and still mnahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
 
Hayo ni maisha ya zama za mawe za kale, watu wanapiga picha nje ya white house, hapo kwenu kuna kitu gani kipya kisichojulikana duniani?

Well, amepiga picha/video, mwanausalama mwenye maadili angechukua hiyo simu na kudelete video husika na kumuonya asirudie hilo kosa, Tafrani yote hiyo iliyotokea ni ya nini? Maguvu mengi utadhani mnakamata gaidi. Wakati Hamza amekuja na mabunduki mbona hamkujitokeza.

Halafu wewe tunakudai yuko wapi Ben Saanane?
 
Usalama wa mchongo hawa Zero Brain kabisaa Video imefikaje mitandaoni wakati simu waliikwapua ?
 
Na bado video imetufikia walimwengu huku mitandaoni. Sasa sijui wanalinda nini hawa viazi?

Pale whitehouse, kuna hadi museum watu wanaingia kutalii. Hawa viazi wenyewe bado wanakomalia raia wasipige picha eti "maeneo nyeti", nyeti my foot. Kuna eneo nyeti hapo makumbusho kushinda white house? Kuna maeneo nyeti kushinda ofisi za CIA pale Langley?

Hawa vijana wa UVCCM wanachoweza ni kukimbizana tu na wananchi ambao hawana madhara wala hatia. Maana wamejazana hapo sababu ya kadi zao za chama, Ila uweledi ni sifuri!
 
Alichofeli ni Kukubali kuingiza Gari mule ndani

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Kafeli sana huyu mwamba.

Na inaonesha ni mkorofi tu by nature hata ongea ongea yake.

Alafu si angesema hasimamishi kama vipi tuongozane polisi..


Mrekodi video kwa mujibu wa video anaonekana nj msumbufu by nature
 
Alafu huyo ni dereva tu....
jamaa fala sana yule. dereva tu wa gari la idara ya usalama wa taifa, anavimba vile.

najiuliza vp kama angekuwa station chief wa tiss nje ya nchi akiongoza team kufatilia masuala nyeti ya kijasusi ya mataifa mengine.
 
Huyo dogo ndie pumbavu kabisa unaamuriwa vipi tena na dereva tu nawe unatii unaingiza gari kwenye fence.
 
Nne kupiga picha kwenye eneo ambalo hairuhusiwi kupiga picha Au kuchukua video ni kosa!
dunia ya sasa ni ushamba kumzua raia asipige picha/video majengo ya serikali.

unamzuia kwa kisingizio cha kulinda usalama wa nchi wakati algorithm ya google map na google earth inakupa aerial view ya eneo lolote unalotaka including maeneo yao haohao tiss.

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


 

Ulimbukeni huo upo kweli
 
Sijui kama ni sheria au protokali tuu. Ila ukipiga picha au video majengo ya serikali bila kupewa rukhsa unaweza kupata matatizo.
Nadhani ni protocol ya kizamani,mbona google maps unapata picha zote utakazo.
 
..wananchi tunatakiwa tuzifahamu HAKI zetu tunapokutana na watumishi wa vyombo vya dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…