Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo la picha wala sio kosa lake coz yeye alikuwa barabarani wao ndio walimkatisha na kumlazimisha kuingia ndani yaliyotokea baada ya hpo ni upumbavu wa hao wanaojiita tiss.Kupiga picha maeneo ya usalama.
Kuna maeneo kisheria huwezi kupiga picha.
Mfano; Vituo vya Polisi +majeshi yote.
Bank n.k
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata tuseme ni kweli aliwatukana,Sasa mtu kukutukana tu ndio mumshukie wengi hivyo kama mmeona gaidi? Punguzeni arrogance wana usalama wetu, mnapenda sana kudeal na vitu petty na kuoneshana umwamba, hii nchi ina mambo mengi sana ya kushughulikia, watu wa muhimu mliopewa dhamana mnapambana na watukanaji barabarani. Haiingi akilini kosa la kutukana adhabu yake iwe hiyo "chaos" yote iliyotokea hapo.Unajuaje kama dogo aliwatukana?
Kuna uwezekano mzozo haujaanzia kwenye kuchomekeana tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata kama ni usalamaHapo ni usalama wa taifa
Na wengi wao huwa ni wakuja ndo huwa na mambo hiz.Tatizo jamaa wengi wao ni washamba halafu waoga angalia hapo wamejazana kibao na bunduki juu kukabiliana na mtu mmoja ambaye labda hana hata kiwembe.
Tuombe Mungu sana tusivamiwe na adui tukiamini hao jamaa kazi yao kubwa ni kuonea raia tu
Hayo ni maisha ya zama za mawe za kale, watu wanapiga picha nje ya white house, hapo kwenu kuna kitu gani kipya kisichojulikana duniani?Mbona vijana mnakuwa wapumbavu na wajinga kiasi hiki cha lami? Do we read kweli sheria?
Hivi unajuwa usalama wa Taifa nieneo hatari kurecord au kufanya chochote?
Unajuwa kwakufanya kosa hilo unaweza kupotea natusikuone mpaka kiama pasipo jali wewe ni mtoto wa nani?
Je unajuwa maeno kadhaa ktk jiji la dsm nihatari hata kupak gari nje?
Je unajuwa call zote na watu wanapita nje ya ofisi za usalama wa Taifa zinakuwa intercepted kutoka mbali sana?
Haya utampigia mjomba wako mbunge... Kwa ujinga na upumbavu wako.ok
Majengo yao tunayajua kupitia watoto wao
Na bado video imetufikia walimwengu huku mitandaoni. Sasa sijui wanalinda nini hawa viazi?Hayo ni maisha ya zama za mawe za kale, watu wanapiga picha nje ya white house, hapo kwenu kuna kitu gani kipya kisichojulikana duniani?
Well, amepiga picha/video, mwanausalama mwenye maadili angechukua hiyo simu na kudelete video husika na kumuonya asirudie hilo kosa, Tafrani yote hiyo iliyotokea ni ya nini? Maguvu mengi utadhani mnakamata gaidi. Wakati Hamza amekuja na mabunduki mbona hamkujitokeza.
Halafu wewe tunakudai yuko wapi Ben Saanane?
Camera nu muhimu, mimi kwenye gari nimeweka camera.Kuna umuhimu wa kuwa na Camera kwenye magari, maana wapumbavu ni wengi halafu wana madaraka
Kafeli sana huyu mwamba.
jamaa fala sana yule. dereva tu wa gari la idara ya usalama wa taifa, anavimba vile.Alafu huyo ni dereva tu....
dunia ya sasa ni ushamba kumzua raia asipige picha/video majengo ya serikali.Nne kupiga picha kwenye eneo ambalo hairuhusiwi kupiga picha Au kuchukua video ni kosa!
Kuna fala mmoja huwa anajifanya au sijui ndio security wa Taifa kweli!!!? Nilikuwa nasikia sana tabia zake za kuwa akikutaa bar unakunywa na yeye anaagiza kama uvyokunywa wewe kisha anasema utalipa wewe,.
Bahati nzuri mimi sinywi ila nikasema hasirogwe kuingia katika anga zangu za aina yoyote hile.
Siku moja nikaenda bar na rafiki yangu mmoja alikuwa ananywa zake bia mimi nikiwa nakunywa sparletar yangu mara jamaa kaja na kama kawaida yake siku hiyo akafikia kwenye point yetu. Akatusalimia akaenda counter kaagiza na yeye bia zake kama za jamaa yangu na kumwambia counter kuwa watalipa wale pale akituonesha sisi.
Baada ya sisi kumaliza yetu tukaomba bill ilipoletwa tukaona bill imekuja mara dufu, nilipooliza tukajibiwa kuwa na pombe zile pale. Mimi nikamwambia sisi hatumfahamu alipe mwenyewe, baada ya hapo jamaa si akaja akatuuliza kwa nini hatutaki kunilipia?
Nikamuuliza tukulipie wewe una tatizo gani? Nae akatuuliza kwani nyinyi hamnifahamu, na Mimi nikamuuliza "sisi unatufahamu?" Nikamwambia ondoka kabla sijakushia dhahama, wakati huo watu wametunguka wakisilizia. Naona kaondoka uku akisema "mtanijua tu"
Juzi nimekutanae barabarani nashangaa kanisalimia bro za ziku?
Nikajifanya sikumsikia.
Nadhani ni protocol ya kizamani,mbona google maps unapata picha zote utakazo.Sijui kama ni sheria au protokali tuu. Ila ukipiga picha au video majengo ya serikali bila kupewa rukhsa unaweza kupata matatizo.