Sijui kama ni sheria au protokali tuu. Ila ukipiga picha au video majengo ya serikali bila kupewa rukhsa unaweza kupata matatizo.
Hata kama kuna evidence kuwa picha uliyopiga ina element za jinai?
Ndo sababu katiba mpya ni muhimu sana kuna vitu vikewekwa ili ukihoji ujikute upo matatizoni , just kwa ajili ya nterst za viongozi.
Kuna mbunge aliwahi kuhoji inakuwaje mikataba mingi mibovu ya serikali ilikuwa na muhuri wa 'confidential'
 

 
Wamefanya kosa gani hao Askari? Unajua chanzo cha hilo tukio lilikuwa nini? Au umesikiliza clip upande mmoja tu unakuja kuropoka humu?
Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.

View attachment 2182373

Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?

Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
 
Ukimuoma mtu wa idara anajitambulisha au kutambulishwa pasipo sababu juwa hapo ipo shida. Na inatakiwa atuwa kali ikiwemo kuondolewa ktk idara. End
Kila siku nasema njoo mwananyamala pale Royal wanaeka vitambulisho mezani au wakilewa pale Serengeti baa na kuna ingine mpya tunawaokotea na kukabidhi kaunta. Maadili hayapo kabisa
 
Halafu utasikia eti hao waacheni huwa hawasemwi

Dunia nzima wanawajibishwa tena na wanatangazwa kabisa
Nigeria walivyoiba hela za bajeti na kuchapwa na waasi waliaema
Halafu mtu anasema katiba kwani kwenye sheria za Jeshi zimeandikwa kuonea mtu?

Waandishi wa Habari waoga hawana uhuru hata kumuiliza mkubwa swali moja tu je kupiga rukhsa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…