Anajua ana ndugu yake mbunge , ndo mana akaleta kiburi na kusimama
 
Hakukua na haja ya kubishana nae Wala kuongea nae, unalipa bill yako unasepa. Ila hiyo kuanza kuongea nae na kubishana nae ndio mnamvimbisha kichwa
 
Combats tokea upande wa pili na bunduki hakuwa na namna.

Makosa aliyofanya ni pamoja na kuendelea kuifuata kwa nyuma gari ile. Kusubiri nyuma hata iliposimama. Yote akiamini hana makosa.

Hilo ni kosa kufuata nyuma hilo gari. Wakati mmoja kunajamaa alifuata msafara kwa kupimana nao mbio. Ulikuwa wa Kagame akitokea airport. ghafla akastukia IST imetokea from no where iko ubavuni mwake inajaribu kumzonga atoke nje ya barabara. Akaamua kuingia barabara ya vingunguti kwenda kuzunga kule mahakama ya mbusi.
 
Humo sio jeshini, humo ni usalama wa Taifa na hapo ni parking zao za nje
 
Leo naitamani ban..... usalama wa taifa wa CCM nyie mazuzu magic msio na akili nimewatukana matusi yote duniani.

Niambieni kwa kesi hii, where is your intelligence?
 
Acha ujuha wewe! Kuna basement gani hapo?
 
Basi unapokutana na kipondo usije hapa kulialia!
Rudi shule kasome vizuri uelewe tena ikibidi mpaka Kipara kikuote kichwani.

Sheria iko wazi kabisa kuwa muhimili mmoja haupaswi kuingilia muhimili mwingine kikazi.

Ndiyomaana unaona Ofisa TRA hawezi kufanya kazi ya Ofisa TBS, na Ofisa TPA hawezi kufanya kazi ya Ofisa TAA.
 
Sheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting!

Hata wewe unaweza kumu arrest muhalifu akifanya kosa

Kum arrest unampeleka nyumbani au ofisini kwako?

Vituo vya polisi vipo vingapi au traffic police barabarani hawapo?

Acheni uonevu hata kwa madogo kama huyo.

Kwenu hamna madogo nyie? Au haukuwahi kuwa wadogo?

Madogo ni wa kuelekeza si kuonea. Khaaaaaa!

Disgusting.
 
Vijijini mtu anakamatwa na kupelekwa kwa mjumbe au Mwenyekiti wa serikali ya mtaa! Hujui hilo?

Kukamatwa sheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting

Unajuaje kama aliingizwa pale ili polisi wataarifiwe waende kumchukua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…