Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa nini hakurekodi wakati anachomekewa?
Kwa nini uamini maneno yake wakati hujaona akiwa anachomekewa?
Kwa taarifa yako Kisheria anyone can make an arrestRudi shule kasome vizuri uelewe tena ikibidi mpaka Kipara kikuote kichwani.
Sheria iko wazi kabisa kuwa muhimili mmoja haupaswi kuingilia muhimili kikazi.
Ndiyomaana unaona ofisa TRA hawezi kufanya kazi ya ofisa TBS, na Ofisa TPA hawezi kufanya kazi ya TAA.
Hilo ni kosa kufuata nyuma hilo gari. Wakati mmoja kunajamaa alifuata msafara kwa kupimana nao mbio. Ulikuwa wa Kagame akitokea airport. ghafla akastukia IST imetokea from no where iko ubafuni mwake inajaribu kumzonga atoke nje ya barabara. Akaamua kuingia barabara ya vingunguti kwenda kuzunga kule mahakama ya mbusi.
Ushamba wao Uko wapi?Tatizo ni ushamba na hasa ukizingatia wengi hawakupata kazi hiyo kwa weledi bali kwa vimemo.
Siwezi kuamini maneno ya upande mmoja bila uthibitisho!Naona unajaribu kutetea sana hao na kupanga tukio lilivyo
Kumbuka gari haina dash cam ya kurekodi matukio yote bali ni simu tu na ameanza kurekodi tukio baada ya kusimamishwa
Kitu gani huelewi hapo
Alifikiri nyumbani kwa mtu
Nina hasira na hawa wapumbavu, we are not trained for bullying others illegallyHii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.
Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?
Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.
Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.
Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.
Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.
View attachment 2182358
Acha ujingaBasi unapokutana na kipondo usije hapa kulialia!
Siwezi kuamini maneno ya upande mmoja bila uthibitisho!
Unachofanya wewe ni kuhukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja
Ww ni mpumbavu na ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa hili kutufikisha hapa kimaisha kwa uchumi mdogo sana duniani ingawa tuna zaidi ya 80% ya kila rasilimali.Kwa taarifa yako Kisheria anyone can make an arrest
Mtu yeyote anaweza kuarrrest linapofanyika kosa hata wewe
Haviaminiki kivipi?Kama ambavyo vyombo vya dola vimekuwa haviaminiki tena ambapo camera ni sumu kuvu kwao.
Vijijini mtu anakamatwa na kupelekwa kwa mjumbe au Mwenyekiti wa serikali ya mtaa! Hujui hilo?
Kukamatwa sheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting
Unajuaje kama aliingizwa pale ili polisi wataarifiwe waende kumchukua?
Wapi kusheria imeandikwa kumtamata mtu lazima uwe na kibali?Ww ni mpumbavu na ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa hili kutufikisha hapa kimaisha kwa uchumi mdogo sana duniani ingawa tuna zaidi ya 80 ya kila rasilimali.
Unamkamataje Mtu bila kibali cha mamlaka husika, au huoni umejichukulia hatua mkononi?
Siwezi kuamini maneno ya upande mmoja bila uthibitisho!
Unachofanya wewe ni kuhukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja
Nimeshangaa jamaa katoa wapi hiyo sheria yake. Nchi hii ujinga bado upo kwa kiasi kikubwa sana.Ww ni mpumbavu na ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa hili kutufikisha hapa kimaisha kwa uchumi mdogo sana duniani ingawa tuna zaidi ya 80 ya kila rasilimali.
Unamkamataje Mtu bila kibali cha mamlaka husika, au huoni umejichukulia hatua mkononi?
Je huyo Mtu akikufia mikononi mwako utajitetea vipi kuwa ulikuwa unamkamata kisheria bila ya vielelezo vyovyote vya sheria husika ya hayo mamlaka?
Sana tu!Mjini Dar es salaam nako mtu anamkamatwa na kupelekwa nyumbani kwa mtu?
Kulikuwa kuna haja gani ya kufanya hayo waliyoyafanya kwa makosa ya barabarani, kwanini wasingeita trafiki washughulike naye huyo raia.Ushamba wao Uko wapi?
Hao ni chombo cha ulinzi na Usalama! Wana mandate zote kama kikosi cha ulinzi na usalamaHawana uungwana simple
Kuna kesi zao nyingi sana
Wao wanaposimama katikati ya barabara kibabe unaona sawa kabisa
Au show off hizo mnapenda sana ama
Sasa wewe kawaulize huo upande mwingine utuletee ukweli Na mimi nawaza na kutafakari pia
Uwe na siku njema