Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.

Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.

I'm out.
Upo sawa kwa mujibu wa ufaham wako, pia hata wenye ufaham kua ni baraka/zawadi toka kwa Mungu wapo sawa pia, kwa sababu nishati ndo chanzo cha kila kitu, japo imepewa title tofauti tofauti kulingana na tofauti za kiufaham
 
S
Sara alipata mtoto uzeeni na alikuwa mgumba lakini alipata
 
S

Sara alipata mtoto uzeeni na alikuwa mgumba lakini alipata
Hao watu wa zamani tunaoambiwa waliokuwa wanaishi miaka 900 uzee wao ulikuwa unaanzia wapi?
 
Waliopata mtoto kwa kubakwa je ?
Watoto ni Baraka: Biblia inasema watoto ni urithi kutoka kwa Bwana (Zaburi 127:3) na wanapaswa kulindwa.

Watoto wengi wamezaliwa kabla ya ndoa na wengine ni watoto wa nje ya ndoa na wengine ni matokeo ya kubakwa hayo yote Mungu husamehe ukiomba toba lakini huwa ni chukizo kwa Mungu

Uzinzi na Unajisi: Kubaka ni unajisi na uharibifu wa hekalu la Roho Mtakatifu (1 Wakorintho 6:19-20). Kufanya hivyo kwa mtoto ni dharau kubwa kwa uumbaji wa Mungu.
 
Kwa unavyoelewa jinsi mimba inapatikana wewe unajua kila siku mwezi mzima mwanamke akimwagiwa ndani anapata mimba si ndiyo?
 
Kwa unavyoelewa jinsi mimba inapatikana wewe unajua kila siku mwezi mzima mwanamke akimwagiwa ndani anapata mimba si ndiyo?
Utajuaje mwanamke yupo kwenye siku zake bila yeye kuamua kukwambia?

Akikuficha ili akutegee mimba, Wewe mwanaume utajuaje ili usimwagie ndani?
 
Utajuaje mwanamke yupo kwenye siku zake bila yeye kuamua kukwambia?

Akikuficha ili akutegee mimba, Wewe mwanaume utajuaje ili usimwagie ndani?
Okay umekwepa kujibu. Swali jingine hili hapa.

Kwahiyo wewe unachomaanisha binadamu kwenye sex hawan option kama wanataka kuzaa au kuburudika?
 
Na huo ndio ukweli, tamaa za ngono ndio zimesababisha tuwepo duniani…!!

Na wanaobisha andiko lako wote walipatikana kwa style ya chuma mboga 😹😹😹🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…