ficha upumbavu wako, unless ba matokeo yako binafsi kwenye mfuko wa suruali yako chafutulivosema Chadema mtashindwa vibaya sana na kwa aibu hamkuamini.
Now ni visingizio tu. Watanzania muda huu wanabet na kujadili Mechi za UEFA
Sasa nenda kachome mabox ya kuhifadhia kura kuonesha Hasira zako.. usimalizie humu.ficha upumbavu wako, unless ba matokeo yako binafsi kwenye mfuko wa suruali yako chafu
tuliza mapumbu subiri matokeo
Hakuna kitu kama hicho. Mlitamani sana tushindwe kufanya uchaguzi huru na haki kwa kusababisha vurugu, hivyo viunzi watanzania tumeviruka. Mpaka sasa uchaguzi unaendelea kufanyika na ni matumaini yangu utamalizika salama na matokeo yatatangazwa kwa usalama pia. Tanzania yenye amani itaendelea kushamiri na kuimarika kwa kila nyanja. Na hapo sasa ndiyo mwanzo wa kuipata Tanzania inayoJITEGEMEA kwa uhalisia.Huu uchaguzi ni BATILI huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akishirikiana na tumeccm na polisiccm wameuvuruga uchaguzi huu.
Iundwe Serikali ya mpito ya watu 5 hadi 10 kwa kipindi cha kati ya miezi sita hadi 12 ili waweze kuipitisha rasimu ya Tume ya Warioba kama Katiba yetu mpya kuja na namna ya kupata Tume huru ya uchaguzi na haya yakishakamilika ndiyo uchaguzi urudiwe.
Huyo Jiwe aondoke Ikulu haraka sana na asiwe na access na Serikali ya mpito ili kutunza ushahidi wowote kuhusu uhuni mbali mbali uliofanyika katika kuvuruga uchaguzi huu ikiwemo uchapaji wa karatasi za kupigia kura ambao unadaiwa kuna ufisadi wa hali ya juu wa billions za walipa kodi.
Wacha uongo mpuuzi weweHakuna kitu kama hicho. Mlitamani sana tushindwe kufanya uchaguzi huru na haki kwa kusababisha vurugu, hivyo viunzi watanzania tumeviruka. Mpaka sasa uchaguzi unaendelea kufanyika na ni matumaini yangu utamalizika salama na matokeo yatatangazwa kwa usalama pia. Tanzania yenye amani itaendelea kushamili. Na hapo sasa ndiyo mwanzo wa kuipata Tanzania inayoJITEGEMEA kwa uhalisia.
Mungu ibariki Afrika,
Mungu ibariki Tanzania. Amina.
Unaota?Huu uchaguzi ni BATILI huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akishirikiana na tumeccm na polisiccm wameuvuruga uchaguzi huu.
Iundwe Serikali ya mpito ya watu 5 hadi 10 kwa kipindi cha kati ya miezi sita hadi 12 ili waweze kuipitisha rasimu ya Tume ya Warioba kama Katiba yetu mpya kuja na namna ya kupata Tume huru ya uchaguzi na haya yakishakamilika ndiyo uchaguzi urudiwe.
Huyo Jiwe aondoke Ikulu haraka sana na asiwe na access na Serikali ya mpito ili kutunza ushahidi wowote kuhusu uhuni mbali mbali uliofanyika katika kuvuruga uchaguzi huu ikiwemo uchapaji wa karatasi za kupigia kura ambao unadaiwa kuna ufisadi wa hali ya juu wa billions za walipa kodi.
Toa Ujinga-
NEWS ALERT
Kutoka Tanga Mjini kituo cha Ngamiani Kusini kijiji cha Jamhuri B karani wa uchaguzi anawajazia watu sehemu za mgombea na kutiki kabisa kisha kumuelekeza kwenda kutumbukiza kwenye sanduku bila na mwananchi kuchagua MEKO.
@TumeUchaguziTZ huu ni uchaguzi wa hovyo sana
Ha ha haaa ! Waongo wanajulikana Tanzania hii. Hata hivyo, pole kwa kukwazika na maoni yangu. Bahati nzuri, niliyoyaeleza ndiyo ukweli wenyewe, Mtani wangu. Hakuna namna vumilieni ukweli huu ingawa ni mchungu kwako.Wacha uongo mpuuzi wewe
Inawezekanaje Hilo?Kwenye Vituo Vingi Jimbo La Hai, Vitabu Vya Kupiga Kura Za Urais Vimeisha. Watu Wanalazimika Kumpigia Mbunge Na Diwani Tu Bila Kupiga Kura Za Urais.
Ni Ajabu Kwanini Vituo Vimepewa Kitabu Kimoja Tu Cha Kura Za Urais Wakati NEC Wanajua Idadi Kamili Ya Wapiga Kura Kila Kituo!
Kazi ipoBaada a facebook, twitter, whatsap, gmail, youtube kufungwa jana sasa na Jamiiforums imepigwa PIN.. hapa nadhani tunapeta na VPN tuu,
Kwa nini mnajiabisha!? Yaani unadiriki kutoa tuhuma kama hii bila ushahidi usiotiliwa shaka na unatengemea watu wenye hekima na busara zao wakuone wa maana!? Mkuu, unaonekana kituko kwa hili unalofanya na inaoneka a wazi unataka kuchafua amani ya nchi. Hili halikubaliki!-
NEWS ALERT
Kutoka Tanga Mjini kituo cha Ngamiani Kusini kijiji cha Jamhuri B karani wa uchaguzi anawajazia watu sehemu za mgombea na kutiki kabisa kisha kumuelekeza kwenda kutumbukiza kwenye sanduku bila na mwananchi kuchagua MEKO.
@TumeUchaguziTZ huu ni uchaguzi wa hovyo sana
Siyo kweli. Natumia mtandao huu! Na sijui hiyo VPN......Jamiiforums imepigwa PIN.. hapa nadhani tunapeta na VPN tuu,
Madhara ya uchache wa wapiga kura ni yapi?.Natamani sana kujua tafadhaliUnajua maana ya watu 29m+, hiyo ni nusu ya watanzania wote. Hata wangejitokeza watu 15m tu, kungekuwa na misururu hadi sasa. Ni hivi, watu wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Kama ulisoma masharti kwa mpiga kura yaliyobandikwa pale kituoni. Hili nikosa. Hukuruhusiwa kupiga picha ndani ya kituo. Vinginevyo, useme hii karatasi ya mfano,Tushaamua,View attachment 1614768
Makaratasi ya kura yamezagaa mitaani kibao.aliebuni wizi wa aina hii hajui kuibaKwa nini mnajiabisha!? Yaani unadiriki kutoa tuhuma kama hii bila ushahidi usiotiliwa shaka na unatengemea watu wenye hekima na busara zao wakuone wa maana!? Mkuu, unaonekana kituko kwa hili unalofanya na inaoneka a wazi unataka kuchafua amani ya nchi. Hili halikubaliki!
Ninyi mnachekesha sana!!! Hivi kuna mtu anaweza kufanya ujinga huo kweli!? Kwa nini hamuweki ushahidi usiotiliwa shaka. Kubali kushindwa kama mmeishaona dalili acha visingizio.