Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
-
Jimbo la Nkenge mkoani Kagera Mawakala 285 wamezuiwa kuingia vituoni kati ya Mawakala 340 hali hii ipo maeneo mengi, ukiukwaji huu wa taratibu za uchaguzi haukubaliki na Wananchi wana Haki ya kuupinga ili kutetea Uchaguzi huru na wa Haki.
 
Tumepokea taarifa kutoka Arusha, Jimbo la Arumeru Magharibi, Kata Kiranyi kijiji Elkiurei, Kuna kituo hewa ofisi ya kijiji mtaa wa Kwaloningó karibu na MoonShine Hotel , Hii ni saa hakuna mpiga kura wala dalili za mpiga kura
 
-#Arusha Polisi wameenda kwenye vituo vya kupigia kura wamechukua simu za mawakala wote wa Chadema na kuondoka nazo.
 
tulivosema Chadema mtashindwa vibaya sana na kwa aibu hamkuamini.

Now ni visingizio tu. Watanzania muda huu wanabet na kujadili Mechi za UEFA
ficha upumbavu wako, unless ba matokeo yako binafsi kwenye mfuko wa suruali yako chafu
tuliza mapumbu subiri matokeo
 
Huu uchaguzi ni BATILI huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akishirikiana na tumeccm na polisiccm wameuvuruga uchaguzi huu.

Iundwe Serikali ya mpito ya watu 5 hadi 10 kwa kipindi cha kati ya miezi sita hadi 12 ili waweze kuipitisha rasimu ya Tume ya Warioba kama Katiba yetu mpya kuja na namna ya kupata Tume huru ya uchaguzi na haya yakishakamilika ndiyo uchaguzi urudiwe.

Huyo Jiwe aondoke Ikulu haraka sana na asiwe na access na Serikali ya mpito ili kutunza ushahidi wowote kuhusu uhuni mbali mbali uliofanyika katika kuvuruga uchaguzi huu ikiwemo uchapaji wa karatasi za kupigia kura ambao unadaiwa kuna ufisadi wa hali ya juu wa billions za walipa kodi.
Hakuna kitu kama hicho. Mlitamani sana tushindwe kufanya uchaguzi huru na haki kwa kusababisha vurugu, hivyo viunzi watanzania tumeviruka. Mpaka sasa uchaguzi unaendelea kufanyika na ni matumaini yangu utamalizika salama na matokeo yatatangazwa kwa usalama pia. Tanzania yenye amani itaendelea kushamiri na kuimarika kwa kila nyanja. Na hapo sasa ndiyo mwanzo wa kuipata Tanzania inayoJITEGEMEA kwa uhalisia.

Mungu ibariki Afrika,
Mungu ibariki Tanzania. Amina.
 
Hakuna kitu kama hicho. Mlitamani sana tushindwe kufanya uchaguzi huru na haki kwa kusababisha vurugu, hivyo viunzi watanzania tumeviruka. Mpaka sasa uchaguzi unaendelea kufanyika na ni matumaini yangu utamalizika salama na matokeo yatatangazwa kwa usalama pia. Tanzania yenye amani itaendelea kushamili. Na hapo sasa ndiyo mwanzo wa kuipata Tanzania inayoJITEGEMEA kwa uhalisia.

Mungu ibariki Afrika,
Mungu ibariki Tanzania. Amina.
Wacha uongo mpuuzi wewe
 
Huu uchaguzi ni BATILI huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akishirikiana na tumeccm na polisiccm wameuvuruga uchaguzi huu.

Iundwe Serikali ya mpito ya watu 5 hadi 10 kwa kipindi cha kati ya miezi sita hadi 12 ili waweze kuipitisha rasimu ya Tume ya Warioba kama Katiba yetu mpya kuja na namna ya kupata Tume huru ya uchaguzi na haya yakishakamilika ndiyo uchaguzi urudiwe.

Huyo Jiwe aondoke Ikulu haraka sana na asiwe na access na Serikali ya mpito ili kutunza ushahidi wowote kuhusu uhuni mbali mbali uliofanyika katika kuvuruga uchaguzi huu ikiwemo uchapaji wa karatasi za kupigia kura ambao unadaiwa kuna ufisadi wa hali ya juu wa billions za walipa kodi.
Unaota?

Mlifikiri uchaguzi ni sawa na kuchaguana mamonitor wa darasa la nne?

Na bado
 
-
NEWS ALERT
Kutoka Tanga Mjini kituo cha Ngamiani Kusini kijiji cha Jamhuri B karani wa uchaguzi anawajazia watu sehemu za mgombea na kutiki kabisa kisha kumuelekeza kwenda kutumbukiza kwenye sanduku bila na mwananchi kuchagua MEKO.
@TumeUchaguziTZ huu ni uchaguzi wa hovyo sana
Toa Ujinga
 
Wacha uongo mpuuzi wewe
Ha ha haaa ! Waongo wanajulikana Tanzania hii. Hata hivyo, pole kwa kukwazika na maoni yangu. Bahati nzuri, niliyoyaeleza ndiyo ukweli wenyewe, Mtani wangu. Hakuna namna vumilieni ukweli huu ingawa ni mchungu kwako.
 
Kwenye Vituo Vingi Jimbo La Hai, Vitabu Vya Kupiga Kura Za Urais Vimeisha. Watu Wanalazimika Kumpigia Mbunge Na Diwani Tu Bila Kupiga Kura Za Urais.

Ni Ajabu Kwanini Vituo Vimepewa Kitabu Kimoja Tu Cha Kura Za Urais Wakati NEC Wanajua Idadi Kamili Ya Wapiga Kura Kila Kituo!
Inawezekanaje Hilo?
 
-
NEWS ALERT
Kutoka Tanga Mjini kituo cha Ngamiani Kusini kijiji cha Jamhuri B karani wa uchaguzi anawajazia watu sehemu za mgombea na kutiki kabisa kisha kumuelekeza kwenda kutumbukiza kwenye sanduku bila na mwananchi kuchagua MEKO.
@TumeUchaguziTZ huu ni uchaguzi wa hovyo sana
Kwa nini mnajiabisha!? Yaani unadiriki kutoa tuhuma kama hii bila ushahidi usiotiliwa shaka na unatengemea watu wenye hekima na busara zao wakuone wa maana!? Mkuu, unaonekana kituko kwa hili unalofanya na inaoneka a wazi unataka kuchafua amani ya nchi. Hili halikubaliki!
 
Unajua maana ya watu 29m+, hiyo ni nusu ya watanzania wote. Hata wangejitokeza watu 15m tu, kungekuwa na misururu hadi sasa. Ni hivi, watu wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Madhara ya uchache wa wapiga kura ni yapi?.Natamani sana kujua tafadhali
 
Kwa nini mnajiabisha!? Yaani unadiriki kutoa tuhuma kama hii bila ushahidi usiotiliwa shaka na unatengemea watu wenye hekima na busara zao wakuone wa maana!? Mkuu, unaonekana kituko kwa hili unalofanya na inaoneka a wazi unataka kuchafua amani ya nchi. Hili halikubaliki!
Makaratasi ya kura yamezagaa mitaani kibao.aliebuni wizi wa aina hii hajui kuiba
 
Back
Top Bottom