Hapo ndipo mtaona kuwa hakuna watu wanao wasupport, nipo hapa kkoo maisha yanaendelea kama kawaida. Hakuna hata mwenye habari na hilo tamko la kijinga
Lissu ameshatoa tamko mbona, wapenda mabadiliko wote waandamane kupinga mapungufu ya haki katika uchaguzi huu.
 
Hao wapinzani wa kweli watatoka wapi? Na tutatambuaje kuwa ni wapinzani wa kweli na sio hustlers?
Na by the way, malengo na madhumuni walioyasahau hawa wapinzani ni yapi?
Miaka mitano sio mingi, na Mungu akitujalia tutakutana humu kusherehekea maendeleo makubwa ambayo taifa letu itakuwa imepata baada ya kuondokana na hawa wapinzani "fake".

Hamna haja ya kulia maana ni siku njema na wananchi wameamua wanakotaka kwenda. Bila kulazimishwa na mtu.

Amandla...
 
Okay
 
Mkuu, umesema ukweli wote. Dr. WS hakuwa mjinga kujiondoa nyakati zile.
Lisu kaachwa mwenyewe utadhani hana chama. Wagombea wengi hawakupewa usaidizi wakati wa kujaza form na kuzirejesha. Viongozi wanabaki kuuza sura mbele ya camera tuu wakilalamika.
 
Aende zake tu akaishi Ubelgiji...watanzania bado wanahitaji kichapo cha miaka mitano tena wajitambue...Nchi ikiwekewa vikwazo ndipo tutajua kuwa kumbe tamu huwa ni chungu...Amefanya kwa nafasi yake...Big up!!!!
Ukiwekewa vikwazo hizo ARV na vyandarua unavyotumia kuzinunua wewe?
 
Ukiwekewa vikwazo hizo ARV na vyandarua unavyotumia kuzinunua wewe?
Uchaguzi ulikuwa wa huru na haki, wananchi kwa utashi wao wamewakataa upinzani walaghai, Lisu alikuwa ananadi matusi badala ya sera, alikuwa anatafuta kura za huruma. Wananchi wameamua kuchagua maendeleo, hakuna cha kuwekewa vikwazo wala nini. Nadhani, kwa sasa upinzani ujipange, ujitafakari walipojikwaa ili 2025 waje wakiwa wamejipanga kwa sera mbadala ya kuiondoa CCM!
 
Mkuu, umesema ukweli wote. Dr. WS hakuwa mjinga kujiondoa nyakati zile.
Lisu kaachwa mwenyewe utadhani hana chama. Wagombea wengi hawakupewa usaidizi wakati wa kujaza form na kuzirejesha. Viongozi wanabaki kuuza sura mbele ya camera tuu wakilalamika.
Ni mambo ya Karma, J. Mnyika katibu wa CHADEMA kwa sasa aliwahi kutamka maneno mabaya dhidi viongozi wa Taifa hili kuwa ni dhaifu. Sasa karma imemfuata hapo alipo, chama chake kinamfia mikononi mwake! Na hii inadhihirisha udhaifu mkubwa sana aliounyesha Mnyika kutekeleza majukumu ya ukatibu mkuu wa CHADEMA!!!!
 
Watu wameona isiwe tabu, mtu umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, ni afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…