Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini waliotoa matokeo ya kura za wagombea wa nafasi ya urais zinaendelea kutangazwa ambapo kwenye jimbo la uchaguzi la Nkenge mkoani Kagera.

Magufuli amepata kura 57,975 sawa na aslimia 97.1 na mshindani wake wa karibu Tundu Lissu amepata kura 5145 sawa na asilimia 8.05, kura hizi hazijajumuisha zile za wagombea wengine.
 

Feelings are not facts, ni muhimu kulitambua hilo, hao wananchi mnaowasemea kila siku kwamba ,,wana chuki na Raisi Magufuli‘‘ wako wapi? Mbona hatuwaoni popote si Mitaani si kwenye kura, si kwenye Daladala si kwenye Familia, sasa wako wapi?

Najua mna chuki na hasira kushindwa lkn unafikiri ninyi hamna kosa hata kidogo kwenye kushindwa kwenu?

Tundu lisu kaleta Muzungu kamtambulisha kwetu na Muzungu anamtisha Raisi JMTZ unafikiri sisi tutakubali?

Hivyo usiache feelings zako kugeuka kuwa facts, ni kweli mna machungu lkn ndio maisha hayo, ...
 
Jumla unapata asilimia ngapi? Halafu upumbavu huu unatangazwa na mtu anayeitwa jaji tena mbele ya watu.
 
Jumla unapata asilimia ngapi? Halafu upumbavu huu unatangazwa na mtu anayeitwa jaji tena mbele ya watu.
Mkiambiwa mna mihemko mnakuwa wakali, hapo huyo jamaa kuweka hivyo hata hujataka kujisumbua kutafuta ukweli
 
Kwani Askofu Bagonza hakuwepo huko Kagera? Sijui anajisikiaje waumini wake kumkataaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…