Huyo muongo NEC wamesema za Magufuli ni 90.71% siyo 97+Sijaelewa asimlimia 97+asilimia 8 jumla ngap
Nabaki kuliaπ kila naposikia anasifiwa JPM
Na awamu hi ameamua kuua mfumo wa vyama vingi.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania!
Ameua vipi? sisi wananchi tulio wengi ndo tumeamua iwe hivyo, vyama vingi sio lazima viwemo bungeni, huwezi pinga hata kama ni mazuri na wengi ndo wanaoyahitaji afu useme ni demokrasia, majority rule.Nabaki kulia[emoji24] kila naposikia anasifiwa JPM
Na awamu hi ameamua kuua mfumo wa vyama vingi.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania!
Kulia maana yake umekataa tamaa au?Nabaki kuliaπ kila naposikia anasifiwa JPM
Na awamu hi ameamua kuua mfumo wa vyama vingi.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania!
Watz hawataki vibaraka na wasaliti. Pole sana.Nabaki kuliaπ kila naposikia anasifiwa JPM
Na awamu hi ameamua kuua mfumo wa vyama vingi.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania!
Huwajui wajumbe wewe, watu walimis tu mihadhara.Nyomi lote lile la lisu kura hamnaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Unaweza kupingwa si kwa nia ya kubeza Bali Kama (provocation) ili ufanye vizuri zaidi.Ameua vipi? sisi wananchi tulio wengi ndo tumeamua iwe hivyo, vyama vingi sio lazima viwemo bungeni, huwezi pinga hata kama ni mazuri na wengi ndo wanaoyahitaji afu useme ni demokrasia, majority rule.
Hebu taja hayo mazuri.Ameua vipi? sisi wananchi tulio wengi ndo tumeamua iwe hivyo, vyama vingi sio lazima viwemo bungeni, huwezi pinga hata kama ni mazuri na wengi ndo wanaoyahitaji afu useme ni demokrasia, majority rule.
Waliambiwa Chadema itakufa wakawa wabishi wakajidanganya na nyomi fake. Sasa watakula mavi yao!!Chadema ni lazima ife, ni lazima IFE. Chadema wanajeuri na wana dharau sana
Ifee
Huwajui wajumbe wewe, watu walimis tu mihadhara.
Tulimwambia lakini ila sababu ya ubishi wake hukutaka kusikiaNyomi lote lile la lisu kura hamnaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Tulimwambia lakini ila sababu ya ubishi wake hukutaka kusikia
Hilohilo nyomi lilikua na wasio na kadi na hilohilo ndio lilikua linahamia upande wa pili kujazia lile nyomi la kijani kusikiliza sera
Hana madhara huyu