Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Screenshot_20201029-175011.png
 
Nyomi lote lile la Lissu kura hamnaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Nabaki kulia[emoji24] kila naposikia anasifiwa JPM

Na awamu hi ameamua kuua mfumo wa vyama vingi.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania!
Ameua vipi? sisi wananchi tulio wengi ndo tumeamua iwe hivyo, vyama vingi sio lazima viwemo bungeni, huwezi pinga hata kama ni mazuri na wengi ndo wanaoyahitaji afu useme ni demokrasia, majority rule.
 
Unaweza kupingwa si kwa nia ya kubeza Bali Kama (provocation) ili ufanye vizuri zaidi.

Maana unaweza dhani unafanya VIZURI LAKINI ISIWE VIZURI SANA.

Hivyo wakiwepo watu wa kuku-challange itakusaidia kufikia hatua ya kufanya kwa UZURI ZAIDI.
 
Ameua vipi? sisi wananchi tulio wengi ndo tumeamua iwe hivyo, vyama vingi sio lazima viwemo bungeni, huwezi pinga hata kama ni mazuri na wengi ndo wanaoyahitaji afu useme ni demokrasia, majority rule.
Hebu taja hayo mazuri.
 
Nyomi lote lile la lisu kura hamnaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Tulimwambia lakini ila sababu ya ubishi wake hukutaka kusikia
Hilohilo nyomi lilikua na wasio na kadi na hilohilo ndio lilikua linahamia upande wa pili kujazia lile nyomi la kijani kusikiliza sera
 
Mimi kama mwana chama mpya wa CCM nina mpongeza kiongozi wa malaika na chama ombi langu kwa kiongozi wa malaika na kiongozi wa chama na nchi ninaomba uzima kabisa internet haina mchango kwa wazalendo
 
Ila hata hivyo wameiba Sana ccm.
Kura feki mzigooo
Tulimwambia lakini ila sababu ya ubishi wake hukutaka kusikia
Hilohilo nyomi lilikua na wasio na kadi na hilohilo ndio lilikua linahamia upande wa pili kujazia lile nyomi la kijani kusikiliza sera
 
Mlimdhalilisha sana JK kisa alikua anawachekea chekea

Baada ya uchaguzi wa 2015 mlizivunja kadi za kupigia kura hadharani huku mkiapa hamtapiga kura tena

Siku ya kupiga kura mlikua busy kulakamika ukosefu wa network badala ya kwenda kupiga kura
 
Back
Top Bottom