Wa Makonda kupigwa chiniUshindi upi? Maana hapa majina kibao.
WaleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehWera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera
Vipi Stauslaus Mabulla wa Nyamagana?Tunaanza kusherehekea hapa Kigaboni, tunaenda Temeke tukitoka hapo tunaenda kinondoni na tunaelekea pale Arumeru mashariki
SureMmoja October ili column itimie
Twende babeDea twende tukapate heinken [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Isingekuwa kelele za wakuu wake angeshinda Makonda kigamboni
Mpe Makonda moyo. Lakini Makonda sio mgeni, alikuwa Rc hapo Dar. Na Kigamboni ni eneo ndani ya Dar.. Kwa maneno nafupi ni kwamba Makonda hakuwa ana kubalika kama Rc DarUkitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao ,Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee ,anaemfatia ana kura kumi na mbili .
Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68,hii si nzuri kwake .
Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.
Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi.
Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa ,baadae msije kujikuta mnasonya
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaanza kusherehekea hapa Kigaboni, tunaenda Temeke tukitoka hapo tunaenda kinondoni na tunaelekea pale Arumeru mashariki
Kwahiyo kigamboni mmeshashinda chadema?Tunaanza kusherehekea hapa Kigaboni, tunaenda Temeke tukitoka hapo tunaenda kinondoni na tunaelekea pale Arumeru mashariki
Lijualikali naye vipi?
Haswaaaaaaaaah atakoma na kilanga ngeeeh cha ngeda,Mkuu hizi ni salaam maalum kwa wanao jidanganya kuwa wanapendwa
Ukitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao ,Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee ,anaemfatia ana kura kumi na mbili .
Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68,hii si nzuri kwake .
Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.
Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi.
Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa ,baadae msije kujikuta mnasonya
Jumla Wagombea 41
January Makamba kura 680
Aliefwatia 21
Tuendelee Kunywa Mchuzi Nyama zipo ChiniView attachment 1511942