Kura za Siha hapa zilionyesha kuna Engineer ndiye aliyeshinda. Sasa hivi zinaonyesha Yule Dr ndiyo kashinda. Nini kimetokea au ilikuwa makosa ya kiuhandishi?
 
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Ndio kusema una utani na Mtolea na Mtulia?
 
Kura 68 siyo nyingi kwenye kura ngapi?tuanzie hapo
 
Sijawahi kumjua wala kumsikia huyo Engineer.. Na unavyosema hawawezi thubutu kumkata ni hizo kura 9 za ziada??

Anyway ngoja tuone..
 
kuna mdau anadai sababu ya Ndalichako kukimbilia Kasulu eti kuna wazee wa Kiislamu ujiji ndio wamemfanya akimbilie Kasulu , ndio nikamuuliza aniambie kwa lipi hao wazee wawe na nguvu za kumkimbiza Prof Ndalichako
Huyo mdau yuko sahihi hata asipokujibu

UJIJI acha paitwe ujiji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…