Nadubiria Waitara.
Nasari mbwembwe zimesha zimwa tayari. Hawa ng'ombe walio katwa mikia wana takiwa kujua walikuwa wana tembelea nyota ya CHADEMA
Wao ni watupu kama kopo la chooni..
Hapo ng'ombe alie katwa mkia ndio mwisho wake..Tarime vijijini ni kesho
Nimepata picha kwamba alizoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi
Makonda ameshafeli hakuna namna.Hii ngoma bado mbichi...wale ambao walikua wabunge na wameshinda ila sio kwa zaidi ya asilimia hamsini ngoma kwao bado mbichi sana.. hapa ndio kura ya maoni awamu ya pili inapokuja kutoka vikao vya ndani...
Ona umbwa nyingine hii......
Hivi matokeo momba yakojee?
Aliyekuwa Meya wa Arusha, Kalisti Lazaro nae si alionyesha nia?Lema hana chake pale. Atapata kira za mateja tu ila sio za wengi wanaojitambua.
Bai bai lema...
Hawana undugu ni majina tu yamefananaIdd Azann na Mussa Azann ni ndugu
Nasikia huyu kichaa kashinda bana yaan nimewadharau Sana wachaga
Sijui...Aliyekuwa Meya wa Arusha, Kalisti Lazaro nae si alionyesha nia?
Amandla...
Na mungu amemsimamia kwa kushinda angalau mbele ya macho ya watanzania, akikatwa hayo mengineAlisimamia misingi yake ya utabibu hivi unataka siasa kila mahali? Magufuli kama yuko sahihi basi ni katika kubashiri tuu ila in reality yy Ndugulile kama Daktari aliitendea haki fani yake.
Sijasema umeongelea. Mimi nawauliza ambao wana taarifa kamili,Sijui...
Mie sijaongelea huyo
Tumbo Moto Moto mtapata shida Sana mwaka huu
Bashite kalala chali mapema kabisa kabla ya mchezo
Ni uchaguzi wa ndani wa sisiemu, hawajashinda chadema! Sijui unajua hilo....
Endelea kupigia vigeregere sisiemu ya jpm..
Vipi Gambo nae? Nasikia kashindwa...
Lema ajiandae sasa kuachia jimbo, asiyemoenda kaja.