johnthebaptist njoo utoe elimu huku, kuna mtu hawafahamu chuganiansLema hana chake pale. Atapata kira za mateja tu ila sio za wengi wanaojitambua.
Bai bai lema...
Ok...Sijasema umeongelea. Mimi nawauliza ambao wana taarifa kamili,
Amandla...
Hapo kwa Dr. Ndungulile Magu kapigwa home and away, kwanza alimtumbua kwa kumnanga lakini pili 'mwanae' mpendwa kachezea kichapo. Wapiga kura wa ccm wamemuonesha kuwa hawako pamoja naye Magu wala mwanawe.Rais kamponda lakini CCM imeridhika naye tuache uchochezi!
Chama cha upinzani kati ya cdm au act wazalendo, hilo jimbo mkilishindwa ni ujinga wenu.Nyamagana
Stanslaus Mabula=319
John Nzwalile =54
Muda utaongea ,tusubiri
Angekua ana roho ya kiume asingekuwa analialia kama mtoto wa kike, jamaa analia zaidi ya watoto wa kike, anadeka...na huko alipo atakua ana hali mbaya sana.Makonda ni husler na mpambanaji,hajaogopa amethubutu. Vijana mpongezeni makonda na mpeni pole ya kushindwa Amejifunza mengi kwa mchakato huo.Makonda ana roho ya kiume,nimemkubali kwa uthubutu wake.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Hata sisi wa Yombo Bakwata mpaka kwa mwembe yangaa tumemchoka na tukimuona tunampopoa mawe
Mabula apigwe chin tu hakuna alichokifanyqNa nyamagana kuna mziki huku wakuu
Safari yake imefika, mpe salam..
Pia yule wa moto chini kule mbeya, kiama kimefika...
Wanapukutishwa na wananchi mmoja baada ya wengine...
Makonda tulimshauri akagombee Ukonga ambako hakuna mwenyewe lakini hakutuelewa.Bwashee hebu nipe maoni/mtazamo wako juu ya matokeo ya kura za maoni Kigamboni.
Safari yake imefika, mpe salam..
Pia yule wa moto chini kule mbeya, kiama kimefika...
Wanapukutishwa na wananchi mmoja baada ya wengine...
OkMwambie Betina akapiganie jimbo lake la magogoni, mbeya ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi na tulisha kula kiapo kuifuta ccm
Mambo mengine ni upuuzi mtupu.Ona umbwa nyingine hii......
Hivi matokeo momba yakojee?
Wasukuma Tunasikitishwa Na Unyanyasaji Aliofanyiwa Ndugu Bashite.
[/QUOT
Ndugulile naye ni msukuma ujue
Makonda tulimshauri akagombee Ukonga ambako hakuna mwenyewe lakini hakutuelewa.
Ndugulile alitetea sana Kigamboni isiuzwe kwa mabeberu so wananchi wanamkubali.
Duh! Pina kula moja!KURA ZA MAONI KINONDONI: ZAMARADI APATA KURA MBILI Mtangazaji zamaradimketema amepata kura mbili kinyany’anyito za kura za maoni jimbo la Kinondoni. Kura zilivyohesabiwa kwa uwazi mbele ya wagombea wote pamoja na wajumbe. Abbas Tarimba 171” Idd Azam 78 Kalapina 1