Tunduma
Aden Mwakyonde Kura 254
David silinde 121
hahahahahaha WAHAMIAJI HARAMUWatu wana vyama vyao. Wao Wanakwenda na kamba miguu kama kuku wa matambiko. Lazima waliwe
Tuna kata keki hapaAlipo huko atakuwa anaugulia maumivu tu, anajifanya ana umaarufu kiasi aweze kugombea jimbo lolote hapa nchini!
Afadhali angegombea kwao koromomije labda watu wange muonea aibu, anaichezea dsm ya wabongo?
Duuuu huu uzi mzima "mataga" wameukimbia kabisaBado hajasikika msaliti mmoja anaitwa Waitara sijui kama hajasomeshwa.
Watoto wa kiume wa Mwalimu Julius Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Tanzania, Makongoro na Madaraka, wamekataliwa kwa kura nyumbani kwao Butiama, Mara.
Watoto hao wa Mwalimu Nyerere, walikuwa wakiomba ridhaa ya kupitishwa, kugombea ubunge na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Bunda, kupitia chama cha CCM.
Katika mkutano huo ulifanyika leo, matokeo yanaonyesha kwamba vijana hao wa Mwalimu, wamebwangwa vibaya.
Hadi naandika hapa, matokeo yameonyesha kuwa Makongoro na Madaraka wote wameshindwa kuingia hata 10 bora.
Sasa wanasubiri kudra za Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli kama atakuwa na njia ya kurejea jina la mmoja wao au wote, kati ya matatu ili kupata mmoja atakayepeperjsha benders ya chama hicho tawala kwa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo.
Matokeo yanasomeka: Jumanne Sagini (kura 84), Frank Mahemba (80), Joseph Nyamboha (46), Manyerere Jackton (22), Makongoro Nyerere (3), Madaraka Nyerere (2).
Wagombea walikuwa 59, wapiga kura 555.
Akitangaza matokeo haya, msimamizi wa uchaguzi huo, Msafiri Mtemi amesema zoezi la kupiga kura lilifanyika kwa uwazi mkubwa na kuwataka wagombea wote kuheshimu matokeo.
Msimamizi huyo ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime, amesema uamuzi wa nani atakuwa mgombea utatangazwa na chama chao baada ya kufanyika kwa mchakato mwingine katika mgazi za wilaya, mkoa na hatimaye halmashauri kuu.
Makongoro ambaye amewahi kuwa mbunge wa Arusha kupitia chama cha NCCR - Mageuzi na baadaye kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati Madaraka ndiyo ameingia mara ya kwanza kujaribu bahati yake.
Abdalah Mtolea ..Temeke wamekula kichwa*WALIO ANGUKIA PUA KURA ZA MAONI CCM*
*#TeamMwananzila*
1. Sophia Mjema
2. Paul Makonda
*#TeamKuungaJuhudi*
1. Mtulia
2. J. Nassari
3. Kafulila
4. Lijualikali
5. Silinde
6. Katambi
Mzee watu wanawekeza kimyakimya!Shigongo si Mara ya kwanza kwenda huko,hata 2015 kama sikosei ndio alikuwa wa Pili baada TizebaName recognition ndio factor kubwa nimegundua.
Kiwango ambacho wamesikia jina lako kwenye jamii, hata kama ni kwa udaku.
Erick Shigongo anashindaje siasa za ubunge?
Namshangaa Amber Rutti hajagombea.
Mbona hesabu inagoma, inawezekana vipi 84+80+46+22+3+2=237 alafu wajumbe 555 ina maana wajumbe 318 wamekataa kupiga kura?
Najaribu kuwafuatilia wateule wa Rais Magufuli waliobwaga manyanga na kutia nia ya ubunge.
Yule aliyekuwa DC wa Dodoma mh Patrobas Katambi sijamuona popote, je hakuwahi kutia nia?
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu,hutakaa uelewe SIASA kama fikra zako ni hizo.Hata kama Makonda Atarudishwa JUA KWAMBA Kigamboni litaenda kwa Wapinzani
Makonda hakubaliki Kigamboni na hata hizo kura 122 amezipata kwa gharama kubwa sana na kwa kutumia rasilimali nyingi sana za nchi pamoja na kutoa ahadi nyingi za uwongo.Hasa kwa wakina mama na wale wenye migogoro ya ardhi.Kitendo cha Makonda kunyimwa kurana kupata chini ya 50% ya kura zote ni ushahidi kwamba hana jipya wala hana mvuto.Hata wakirudisha jina lake itabidi na KURA wamuibie ila CCM Kigamboni wameshasema kwenye sanduku la KURA kwamba HAWAMTAKI.AENDE KOLOMIJE
Hakika mmoja wa Kino mwingne wa TemekeKumbe mtolea na mtulia ni watu wawili tofauti?
Lijualikali sasa arudie kazi yake ya boda boda au aende akachunge ng'ombe wa mkwewe NdugayeLijua likali chaliii kaangushwaaa, waitara kesho tutajua
WoyooooooooooooooooooooooooooooooooooohTuna kata keki hapaView attachment 1512164
Mmoja alikuwa Kinondoni mwingine TemekeKumbe mtolea na mtulia ni watu wawili tofauti?
Pamoja sana mkuu. Hawa manyang'au ni lazima waoneshwe mlango wa kutokea. Naye msaliti Katani Ahmadi Katani kalambishwa sakafu huko Tandahimba, Mtwara.Lijua likali chaliii kaangushwaaa, waitara kesho tutajua
Hahaha fanya utafute mwenza.Mgoja niingize net kwanza mbu wanazingia
Cheki Shinyanga mjini Bwashee, kashamwagwa na Masele kitambo tuu.Najaribu kuwafuatilia wateule wa Rais Magufuli waliobwaga manyanga na kutia nia ya ubunge.
Yule aliyekuwa DC wa Dodoma mh Patrobas Katambi sijamuona popote, je hakuwahi kutia nia?
Maendeleo hayana vyama!