Anajua mengi sana ambayo dikteta hayuko tayari yaanikwe hadharani hivyo ni lazima acheze naye karibu au amnunue kwa pesa ndefu. Bashite anajua bila ajira na huu uchumi wa kati ππ ni lazima atakufa njaa na hivyo kuanza kuuza ASSETS zake alizozipata KIHARAMU.
Sogea pande za uku mkuu upata japo 5 za baridi au moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani leo mimi sijui hii furaha itanifikisha salama nyumbani?
Kyela mzee mwakyembe kaanguka
kapita Ally kinanasi 493
Hunter 283
mwakyembe 245
WAZIRI WETU WA MICHEZO KAENDA NA MAJI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule Toronto,alistaafu kwa mujibu wa sheria.Mwanri kilichomuangusha ni tamaa effects
Acha tyuuuuh yaan mweeeeeeeeehHakika mkuu tupo salama kabisa na yale matamko yake yoote sasa yanazikwa rasmi
Nikusahihishe tena sio watu wa Dar Es Salaam, sema wana CCM wa Kigamboni ambao ni kama 150 ndio wamemkataaWatu wanacho furahia ni kuwa... WANANCHI WA DSM WAMEMKATAA MAKONDA.. HAYO YA KUTEULIWA VITI MAALUM HAITUHUSU. SALAAM ZIMEMFIKIA MTEUZI WAKE KUWA WANANCHI WA DSM HAWAMTAKI MAKONDA.
Yaaan acha tyuuuuh huyu mam kule kwetu 2025 atampisha mama majaliwa lolHuyo Mama kumshinda ni kazi Sana, hao ndio wenye ccm yao na muda wote yuko jikoni tu.
Shigongo sio wa leo kwenye ulingo wa siasa za kibunge, sio mtu mdogo kabisa.Name recognition ndio factor kubwa nimegundua.
Kiwango ambacho wamesikia jina lako kwenye jamii, hata kama ni kwa udaku.
Erick Shigongo anashindaje siasa za ubunge?
Namshangaa Amber Rutti hajagombea.
SIKIO HALIZIDI KICHWA!Kwa jinsi Mkulu na viongozi wakuu wa Chama walivyowalilia wateule wake ni dhahiri wapiga kura wengi wa wamewaelewa na wataendelea kuwaelewa kesho kwa Majimbo ambayo hawajapiga kura Leo,wateule wengi ni WAZI WATAPISHANA NAJENGO!NUKUU KAULI YA MAMA SAMIA LEO"HATUNA MUDA SUSHA TANGA,PANDISHA TANGA"Makonda kala za shingo asubuhi sana
Mkuu kulikoni mbona unatoa makavu sana?Dr. Tulia Ackson wako hilo Jimbo la Mbeya Mjini atashinda kama tu Joseph Mbilinyi akifa / akifariki Leo ila akiwa Hai hadi Oktoba anashinda tena.
Nikusahihishe tena sio watu wa Dar Es Salaam, sema wana CCM wa Kigamboni ambao ni kama 150 ndio wamemkataa
Aibu sana aiseeImagine kesho Gwajima anashika kura tano,ukizingatia mambo live.
Magufuli ni mtaalamu wa madawa ana PHD ya kemia huwezi mlinganisha na Ndugulile .
Madawa hugunduliwa na wakemia sio madaktari kama Ndugulile .Kazi ya daktari sio kugundua dawa wakemia ndio hugundua daktari kazi yake kuandika tu prescription ya dawa iliyogunduliwa na wakemia
Ndugulile hana proffessional authority ya kumpinnga Chemist Dr Magufuli
TO HELL WITH NDUGULILE
Tumemwambia akapige mswaki kwanza!Katambi amedondokea yale meno meusi huko Shinyanga.