Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Anajua mengi sana ambayo dikteta hayuko tayari yaanikwe hadharani hivyo ni lazima acheze naye karibu au amnunue kwa pesa ndefu. Bashite anajua bila ajira na huu uchumi wa kati 😂😂 ni lazima atakufa njaa na hivyo kuanza kuuza ASSETS zake alizozipata KIHARAMU.

Ayaanike hayo anayoyajua hadharani kuusu mh Raisi ndio atakapojua TISS wamelala au wapo kazini

Watamshughulikia kisawa sawa,Makonda hawezi kushindana na serikali

Kwa sasa atulie awe mpole, ikiwezekana atafute shule nje ya nchi Akasome huku akitafakali Hatima yake kisiasa
 
Na magoti alipiga nyambaf
IMG_20200720_205046_174.JPG
 
Watu wanacho furahia ni kuwa... WANANCHI WA DSM WAMEMKATAA MAKONDA.. HAYO YA KUTEULIWA VITI MAALUM HAITUHUSU. SALAAM ZIMEMFIKIA MTEUZI WAKE KUWA WANANCHI WA DSM HAWAMTAKI MAKONDA.
Nikusahihishe tena sio watu wa Dar Es Salaam, sema wana CCM wa Kigamboni ambao ni kama 150 ndio wamemkataa
 
Name recognition ndio factor kubwa nimegundua.

Kiwango ambacho wamesikia jina lako kwenye jamii, hata kama ni kwa udaku.

Erick Shigongo anashindaje siasa za ubunge?

Namshangaa Amber Rutti hajagombea.
Shigongo sio wa leo kwenye ulingo wa siasa za kibunge, sio mtu mdogo kabisa.
 
Makonda kala za shingo asubuhi sana
SIKIO HALIZIDI KICHWA!Kwa jinsi Mkulu na viongozi wakuu wa Chama walivyowalilia wateule wake ni dhahiri wapiga kura wengi wa wamewaelewa na wataendelea kuwaelewa kesho kwa Majimbo ambayo hawajapiga kura Leo,wateule wengi ni WAZI WATAPISHANA NAJENGO!NUKUU KAULI YA MAMA SAMIA LEO"HATUNA MUDA SUSHA TANGA,PANDISHA TANGA"
 
Magufuli ni mtaalamu wa madawa ana PHD ya kemia huwezi mlinganisha na Ndugulile .

Madawa hugunduliwa na wakemia sio madaktari kama Ndugulile .Kazi ya daktari sio kugundua dawa wakemia ndio hugundua daktari kazi yake kuandika tu prescription ya dawa iliyogunduliwa na wakemia

Ndugulile hana proffessional authority ya kumpinnga Chemist Dr Magufuli

TO HELL WITH NDUGULILE

Nawaonea sana na mno Huruma Wazazi wako kwani walishirikiana ' Kibaolojia ' ili uletwe hap duniani hawa hawakujua ungekuwa ' Popoma ' hivi.
 
Back
Top Bottom