Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
🤣🤣🤣 Wangemuuliza Molel siri ya mafanikio. Katambi atajuta kuuacha ukuu wa wilaya. Elimu yake yenyewe ya chuo cha kata st Augustine.
[/QUOTESi
Katambi UDSM?????? Hana sifa za kusoma UDSM yule.Si kweli,advanced kasoma Malangali iringa kamaliza 2007,then Udsm
Mkuu bado majina yanaenda dodoma, wanaweza mkata faustin wakamweka yeye.tusubui VR kwanza .Watu wanacho furahia ni kuwa... WANANCHI WA DSM WAMEMKATAA MAKONDA.. HAYO YA KUTEULIWA VITI MAALUM HAITUHUSU. SALAAM ZIMEMFIKIA MTEUZI WAKE KUWA WANANCHI WA DSM HAWAMTAKI MAKONDA.
Wamemwimbia Agonelile wimbo wa makaburini.....Mwakyembe Baba lao.....
Chaliiii,ameangukanitafutie mzee kapuyaa
Bahati nzuri advance alikuwa mbele darasa moja,then nilimkuta udsm akiwa mwaka wa piliKatambi UDSM?????? Hana sifa za kusoma UDSM yule.
Kafulila alienda kutia nia wapi mkuu?Kafululila Silinde wote chali
Ushindi ni ushindi tu, haizalishi umempita magoli mangapi. Aggrey Mwanry amekipata alichokitaka kwa ku risk kazi yake kubwa ya ukuu wa mkoa kwa kazi ndogo ya ubunge.kiti cha Siha warudie kupiga kura tena baina ya Mollel na Mwanri. Tofauti waliyonayo siyo signficant kuonyesha mshindi; inabidi Kweka aondolewe zipigwe kura baina ya hao wawili tu
Hata mtu wao wa karibu Mwakyembe kaangukia pua!!Hahahah wasafi wanafki. Sasa Makonda ndo atajua marafiki wa kweli ni kina nani.
Ikitokea hivyo ataendelea kuthibitisha kuwa yeye ni wa kubebwa tu. Akipewa kushindana hawezi!!!!!!!!!Nawapa wiki kadhaa anaenda kuwa RC some where else in Bongoland
Jamani kwa Gwajima vipi?