Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Huruma ya kamati kuu inaweza mrudisha Silinde ili kuleta ushindani kwa Mwakajoka
 
Si kweli,advanced kasoma Malangali iringa kamaliza 2007,then Udsm
🤣🤣🤣 Wangemuuliza Molel siri ya mafanikio. Katambi atajuta kuuacha ukuu wa wilaya. Elimu yake yenyewe ya chuo cha kata st Augustine.
[/QUOTESi
 
Screenshot_20200720-224449.png
 
Watu wanacho furahia ni kuwa... WANANCHI WA DSM WAMEMKATAA MAKONDA.. HAYO YA KUTEULIWA VITI MAALUM HAITUHUSU. SALAAM ZIMEMFIKIA MTEUZI WAKE KUWA WANANCHI WA DSM HAWAMTAKI MAKONDA.
Mkuu bado majina yanaenda dodoma, wanaweza mkata faustin wakamweka yeye.tusubui VR kwanza .
 
20 Julai 2020
Kigamboni, Dar es Salaam

Dr. Faustine Engelbert Ndugulile azungumza baada ya kuongoza ktk kura za maoni



baada ya ushindi mnono kura za maoni ndani ya CCM akipata kura 190 huku anayemfuatia Paul Christian Makonda akiambulia kura 122. Walikuwapo watia nia 78 waliochukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa CCM kuwania ubunge. Huku wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya waliotakiwa kupiga kura za maoni walikuwa 399.

Source : Global TV online
 
kiti cha Siha warudie kupiga kura tena baina ya Mollel na Mwanri. Tofauti waliyonayo siyo signficant kuonyesha mshindi; inabidi Kweka aondolewe zipigwe kura baina ya hao wawili tu

1595264083932.png
Ushindi ni ushindi tu, haizalishi umempita magoli mangapi. Aggrey Mwanry amekipata alichokitaka kwa ku risk kazi yake kubwa ya ukuu wa mkoa kwa kazi ndogo ya ubunge.
 
Ndio tutajua kama ana maono ya mbele ama huwa ni kamba tupu.....
manake akipigwa chini ni dhahiri hana maono
 
hv ukishindwa kula za maoni ndio basi tena ???

au mchakato unaendelea ???
 
Back
Top Bottom