Mkuu hujamsikia pole pole Leo??kasema kuongoza kwenye kura so ndo kupata tiketi.bado majina yanapelekwa kwenye kamati ya siasa wila. Kisha halmashauri kuu dodoma.
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi kibokoooooooooh
 
Nawashukuru sana wana kigamboni, atleast wana Yanga tupumzishwe sasa midomoni mwa wanasimba.. Habari ya mjini ni atafutiwe kazi nyingine ya kichama,wananchi wamemchoka! Yes! Kama wenzake wamemkata miguu huko sisi tusiyefungamana naye ni nani basi hadi tumpokee! Imeisha!
 
Nilichokiandika hakiendani na chochote ulichokiandika hapa abdool.

Issue ni shule pelekeni wanenu shule kwa wingi na wasiishie form four muwatupe shauri yenu
 
Hapa unaiongelea ile UDSM ya tokea Uhuru wa Tanzania hadi ya mwaka 1995 au hii UDSM ya ' hovyo hovyo Product ' ya mwaka 1996 hadi 2019?
Umeweka demarcation ya nguvu kweli kwani mimi nilifundisha UDSM hadi mwaka 1995. Kumbe baada ya mimi kuondoka kila kitu kilikwenda mrama vile! Nilimwacha rafiki yangu marehemu Prof Mbwette akiwa meneja wa transformation program hiyo iliyobadilisha UDSM kuwa choo ambamo kila mtu anaingia.
 
Jamani kangi lugola vipi

JESUS IS LORD[emoji120]
Kapata kura 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mungu wangu weeeeeeh khaaaah
 
Huenda ndiyo kapata muda wa kutosha kuongoza lile kundi la watu wasiojulikana. Who knows ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…