kauli za baba zilimuonya mara nyingi tu lakini hakusikia YAANI TUTOSHEKE NA TULICHOJAALIWA lakini mwana mkahidi hakusikia
 
Alitaka sifa. Maana alijua kumdondosha Ndugulile ni Glory kwake. Angeenda kweli Kibamba,Ubungo ama Ukonga.
 
Nimesikia mahali Silinde ameshindwa, hebu tuwekee matokeo hapa tumalize utata.
 
Hawa wapuuzi flani walihama wakapewa nafasi CCM saivi wamewanyoosha, Shukwani ziwaendee CCM na mwenyekiti wao. Mwenyekiti kashamaliza teuzi za UDAS, URC, UDC, U-RAS, U-DED waliopoteza watajutia nafasi walizopoteza.

  • Mtulia
  • Katambi...
Mkuu hayo ni maoni tu kwa kamati kuu,maamuzi ya nani agombee na nani asigombee yatategemea na mwenyekiti alivyoamka
 
Kweli kabisa wewe ni jingalao
 
Kwa kura za maoni zinavyoendelea ndani ya chama,ni wazi Sasa CC ya chama inapaswa Kuja na maamuzi ya busara zaid huku wakijiridhisha Kama Kuna kitu nyuma yake,binafsi kwa mwenendo was hizi kura za maoni kunaonekana bado Kuna kimtandao kinajijenga chini kwa chini,huku wakiendekeza mihemuko ya chuki na kuandaa mazingira ya kulinda maslahi yao ambayo yalikomea awamu ya nne.

Kwa jicho lingine waangalie Hawa wazee walopita kwa kura za maoni waekwe pembeni kupisha vijana wajenge nchi.

Wazee Hawa ndo was miaka nenda Rudi na ndiyo mzee yao bungeni huku wakisinzia muda mwingi wa vikao,wanakua macho muda wa uchaguzi tu huku wakitumia mbinu nyingi chafu kupata nafasi za uwakilishi.

Mh. Katibu Mkuu hapa ndipo utapoonyesha no namna gani unajenga chama na si kukirudisha kule kilipotoka.
 
Cha msingi Bashite anarudi kwenye kazi yake ya upishi kwenye meli ya wagiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…