Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
kauli za baba zilimuonya mara nyingi tu lakini hakusikia YAANI TUTOSHEKE NA TULICHOJAALIWA lakini mwana mkahidi hakusikia
 
Lakini lipo tatizo la wateuliwa kudhani hawawajibiki kwenye chama, hayo ndio matokeo yake, una shindwaje kuwashawishi voters 300? Kingine Ni uroho wa madaraka na dharau, kwani angeenda ukonga kibamba ubunge kawe angeshindwa nn? Na hata angeshindwa huko tungejua alienda kukipambania chama kulikoni kwenda kubanana na ndugulile, kwanza mumemtimua uwaziri bado mnamfuatafuata
Alitaka sifa. Maana alijua kumdondosha Ndugulile ni Glory kwake. Angeenda kweli Kibamba,Ubungo ama Ukonga.
 
Nimesikia mahali Silinde ameshindwa, hebu tuwekee matokeo hapa tumalize utata.
 
Hawa wapuuzi flani walihama wakapewa nafasi CCM saivi wamewanyoosha, Shukwani ziwaendee CCM na mwenyekiti wao. Mwenyekiti kashamaliza teuzi za UDAS, URC, UDC, U-RAS, U-DED waliopoteza watajutia nafasi walizopoteza.

  • Mtulia
  • Katambi...
Mkuu hayo ni maoni tu kwa kamati kuu,maamuzi ya nani agombee na nani asigombee yatategemea na mwenyekiti alivyoamka
 
Katika kura zilizonivitia ni hizi za Tunduma.
Silinde amehama kutoka Upinzani na hapo hapo akahama jimbo.

Ukitazama matokeo ya kura za maoni utaona ni kwa kiasi gani ameweza kujenga ushawishi ndani ya CCM katika muda mfupi.
Hapa ndio unaelewa ile hofu ya MNeC kutoka Tunduma...
Kweli kabisa wewe ni jingalao
 
Kwa kura za maoni zinavyoendelea ndani ya chama,ni wazi Sasa CC ya chama inapaswa Kuja na maamuzi ya busara zaid huku wakijiridhisha Kama Kuna kitu nyuma yake,binafsi kwa mwenendo was hizi kura za maoni kunaonekana bado Kuna kimtandao kinajijenga chini kwa chini,huku wakiendekeza mihemuko ya chuki na kuandaa mazingira ya kulinda maslahi yao ambayo yalikomea awamu ya nne.

Kwa jicho lingine waangalie Hawa wazee walopita kwa kura za maoni waekwe pembeni kupisha vijana wajenge nchi.

Wazee Hawa ndo was miaka nenda Rudi na ndiyo mzee yao bungeni huku wakisinzia muda mwingi wa vikao,wanakua macho muda wa uchaguzi tu huku wakitumia mbinu nyingi chafu kupata nafasi za uwakilishi.

Mh. Katibu Mkuu hapa ndipo utapoonyesha no namna gani unajenga chama na si kukirudisha kule kilipotoka.
 
Kigamboni Kuna mchezo umefanyika so bure,harufu ya rushwa na kukomeshana.


CC inatakiwa kufanya uchunguzi kwa Hawa wanaoteuliwa ili kupata viongozi bora na wenye maslahi mapana zaid kwa wananchi.
Watu wamebanwa maslahi yao Sasa wanaamua kuleta urafiki na kutumia kilambinu kutaka kuwatoa waliowabana ili waeze kuendelea kupiga.
Cha msingi Bashite anarudi kwenye kazi yake ya upishi kwenye meli ya wagiriki.
IMG-20200720-WA0058.jpg
 
Back
Top Bottom