Aaaaah na bado Mtulia chaliiii Juakali chaliiii, Na bado piga kelele kwa wasaliti akeeeeeeeeed
Si washalipwa tayari, wakale hizo kwanza hadi ziishe kwanza tamaa ya nini? Kula ni kwa zamu ukishashiba unakaa pembeni na wenzio wapige tonge eeee..
 
Makonda ni mr maslahi, hamjui mtu isipokuwa alicho nacho mtu.
Hafai kuaminiwa...chochote afanyacho ni kwa faida yake mwenyewe na sio nchi
 
Unaweza ukakatwa mbele ya safari ila wengi huwa wanapitishwa, mfano kuna mwaka Bashe alishinda ila akakatwa apewa Kigwangala ambae alikuwa mshindi wa tatu
Ilikuwa ni mwaka 2005. The same year Frederick Mwakalebelea alikatwa, akapewa Monica Mbega Iringa mjini. Nape alikatwa akapewa Hawa Ng'humbi Ubungo
 
Tiketi mbili (Mwigulu na Jaffo) ya kubadili katiba Mkuu apate kuendelea hadi atakapochoka zilishatikiwa.
 
Kwani kura za wanachama ndio final?
 
Huyu Magufuli asivyotaka kushindwa atakuja kumpa ukuu wa mkoa au nafasi nyingine. Hatataka ''waliounga juhudi'' maisha yawaendee kombo kwani wengine watakata tamaa siku zijazo.
Mawazo yako tu hayo
 
Katibu kasema hao kura za maoni hazitoi mshindi baki mapendekezo

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…