Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Fomu ilichapishwa moja tuAaah huko tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fomu ilichapishwa moja tuAaah huko tayari
Kimsingi 96 wamempigia hapana, 27 ndo wanamkubaliKumbe Nchemba hakubaliki hivyo
Si washalipwa tayari, wakale hizo kwanza hadi ziishe kwanza tamaa ya nini? Kula ni kwa zamu ukishashiba unakaa pembeni na wenzio wapige tonge eeee..Aaaaah na bado Mtulia chaliiii Juakali chaliiii, Na bado piga kelele kwa wasaliti akeeeeeeeeed
Makonda ni mr maslahi, hamjui mtu isipokuwa alicho nacho mtu.MAKONDA LAZIMA AMSHINDE NDUGULILE ....MWEZI MMOJA ULIOPITA HATA KABLA TAKUKURU HAWAJASTUKA ALIWAPA VIONGOZI WALIOTARAJIWA KUPIGA KURA ...WENYEVITI NA MAKATIBU KILA MMOJA MILIONI ..AKILENGA KURA 300 ...INAELEZWA ALIGAWA ZAIDI YA MILIONI 300 ...NI WAKATI ULE ULE WIKI MOJA KABLA NDUGULILE HAJATUMBULIWA [IKIDAIWA IT WAS PLANNED ] ......ANATEGEMEWA KUPEWA WIZARA NYETI
ILA WABOBEZI TUNASEMA JPM WILL REGRET ...TUKO HAPA ....
KIJANA ALIYEMTOSA "BABA" YAKE ALIYEMBEBA KUANZIA UVCCM ..KAMA HAMJUI ..
Ilikuwa ni mwaka 2005. The same year Frederick Mwakalebelea alikatwa, akapewa Monica Mbega Iringa mjini. Nape alikatwa akapewa Hawa Ng'humbi UbungoUnaweza ukakatwa mbele ya safari ila wengi huwa wanapitishwa, mfano kuna mwaka Bashe alishinda ila akakatwa apewa Kigwangala ambae alikuwa mshindi wa tatu
Ninavyowaamini wana kigamboni hawawezi kutuangusha
Ongeeni UkweliHuwezi kujua kesho ya mtu, kwani umeshajua kiranja mkuu anamuwazia nini?
Kigamboni;
Dungulile 69
Makonda 316
Wapo Madiwani, Wabunge wakiaminiwa na Wananchi kwa Gharama kubwa ikiwamo uhai lakini Hao Jamaa waliziba masikio na Kuhamia Chama tawala kwa vipande 30 vya fedha ili Wapate uhakika wa kusimamishwa wagombea 2020.
Mpaka sasa MTULIA kule Kinondomi chaliii, Laana ya Usaliti haijawahi kuwa Na baraka.
Mawazo yako tu hayoHuyu Magufuli asivyotaka kushindwa atakuja kumpa ukuu wa mkoa au nafasi nyingine. Hatataka ''waliounga juhudi'' maisha yawaendee kombo kwani wengine watakata tamaa siku zijazo.
DuuhKigamboni;
Dungulile 69
Makonda 316
Aiseee
Haya sasa wale wenye chuki binafsi na bashite mnazungumziaje hiliKigamboni;
Dungulile 69
Makonda 316