Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Aaaaah na bado Mtulia chaliiii Juakali chaliiii, Na bado piga kelele kwa wasaliti akeeeeeeeeed
Si washalipwa tayari, wakale hizo kwanza hadi ziishe kwanza tamaa ya nini? Kula ni kwa zamu ukishashiba unakaa pembeni na wenzio wapige tonge eeee..
 
MAKONDA LAZIMA AMSHINDE NDUGULILE ....MWEZI MMOJA ULIOPITA HATA KABLA TAKUKURU HAWAJASTUKA ALIWAPA VIONGOZI WALIOTARAJIWA KUPIGA KURA ...WENYEVITI NA MAKATIBU KILA MMOJA MILIONI ..AKILENGA KURA 300 ...INAELEZWA ALIGAWA ZAIDI YA MILIONI 300 ...NI WAKATI ULE ULE WIKI MOJA KABLA NDUGULILE HAJATUMBULIWA [IKIDAIWA IT WAS PLANNED ] ......ANATEGEMEWA KUPEWA WIZARA NYETI



ILA WABOBEZI TUNASEMA JPM WILL REGRET ...TUKO HAPA ....
KIJANA ALIYEMTOSA "BABA" YAKE ALIYEMBEBA KUANZIA UVCCM ..KAMA HAMJUI ..
Makonda ni mr maslahi, hamjui mtu isipokuwa alicho nacho mtu.
Hafai kuaminiwa...chochote afanyacho ni kwa faida yake mwenyewe na sio nchi
 
Unaweza ukakatwa mbele ya safari ila wengi huwa wanapitishwa, mfano kuna mwaka Bashe alishinda ila akakatwa apewa Kigwangala ambae alikuwa mshindi wa tatu
Ilikuwa ni mwaka 2005. The same year Frederick Mwakalebelea alikatwa, akapewa Monica Mbega Iringa mjini. Nape alikatwa akapewa Hawa Ng'humbi Ubungo
 
Tiketi mbili (Mwigulu na Jaffo) ya kubadili katiba Mkuu apate kuendelea hadi atakapochoka zilishatikiwa.
 
Kwani kura za wanachama ndio final?
Wapo Madiwani, Wabunge wakiaminiwa na Wananchi kwa Gharama kubwa ikiwamo uhai lakini Hao Jamaa waliziba masikio na Kuhamia Chama tawala kwa vipande 30 vya fedha ili Wapate uhakika wa kusimamishwa wagombea 2020.

Mpaka sasa MTULIA kule Kinondomi chaliii, Laana ya Usaliti haijawahi kuwa Na baraka.
 
Katibu kasema hao kura za maoni hazitoi mshindi baki mapendekezo

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Back
Top Bottom