Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Utakuwa huijui Kigoma vizuri wewe.
Wazee wa ujiji ni level nyingine asee
kumbe upo kwa ajili ya kutukana na kubishana, haya umeshinda. 👏👏👏Nilichokiandika hakiendani na chochote ulichokiandika hapa abdool.
Issue ni shule pelekeni wanenu shule kwa wingi na wasiishie form four muwatupe shauri yenu
Mahesabu yako ya kijinga sanaMambo sasa hadharani. Siyo rocket science wala brain surgery. Ni hesabu rahisi tu za logic.
Ni hivi...
Kwa siasa za ndani na nje ya CCM, Makonda ni taswira ya JPM.
Huko Kigamboni, Makonda kaambulia 34.76% ya kura.
Hiyo ndiyo opinion ya wana CCM wa Kigamboni dhidi ya Makonda (mirroring JPM).
Hapana shaka kuwa huo ndiyo pia mtizamo miongoni mwa wana CCM walio wengi, wakiwamo wajumbe wa mkutano mkuu wao uliofanyika hivi karibuni kule Dodoma.... kwamba ndani ya mioyo ya wana CCM, JPM atakuwa anakubalika kwa 34.76% tu na siyo ile 100% ya maigizo.
Jee, ni nini tafsiri ya yote haya kuelekea uchaguzi mkuu October 2020?
Jibu ni rahisi.... kwamba kama uchaguzi mkuu ungekuwa unafanyika katika mazingira huru na haki, JPM asingeweza kuambulia hata 30% ya kura za Watanzania.
Makonda amekuwa ni barometer kuelekea October 2020.
Ni logic rahisi tu.
Wengi wanaokubali Magufuli hawakubali makondaMambo sasa hadharani. Siyo rocket science wala brain surgery. Ni hesabu rahisi tu za logic.
Ni hivi...
Kwa siasa za ndani na nje ya CCM, Makonda ni taswira ya JPM.
Huko Kigamboni, Makonda kaambulia 34.76% ya kura.
Hiyo ndiyo opinion ya wana CCM wa Kigamboni dhidi ya Makonda (mirroring JPM).
Hapana shaka kuwa huo ndiyo pia mtizamo miongoni mwa wana CCM walio wengi, wakiwamo wajumbe wa mkutano mkuu wao uliofanyika hivi karibuni kule Dodoma.... kwamba ndani ya mioyo ya wana CCM, JPM atakuwa anakubalika kwa 34.76% tu na siyo ile 100% ya maigizo.
Jee, ni nini tafsiri ya yote haya kuelekea uchaguzi mkuu October 2020?
Jibu ni rahisi.... kwamba kama uchaguzi mkuu ungekuwa unafanyika katika mazingira huru na haki, JPM asingeweza kuambulia hata 30% ya kura za Watanzania.
Makonda amekuwa ni barometer kuelekea October 2020.
Ni logic rahisi tu.
Wewe ndiye takataka kabisa,unaangalia jina?Wamarangu watu wa ovyo sana.. Yaani mnamuacha Kimei kweli?? Huyo Koola ndo nani?
Bona mpeni haki yake kapambana Sana Ni resources tu hazitoshi Ila kidogo alichopata kakisimamiaKATIKA JAMBO AMBALO NALIONA NI LA AJABU SANA NI BONNA KALUA KUFAULU KUPITA JIMBO LA SEGEREA ILIHALI HAKUNA CHOCHOTE ALICHOFANYA KATIKA JIMBO HILI NI BORA HATA MAKONDA ANGEKUJA HUKU SIJUI WASHAURI NWAKE WALIKUWA AKINANANI
Kennedy kakatwa mbona yuko kimya sana humu ?
Au anasubiri wa kwanza tukamtia cross, wa pili tukamtia cross, watatu tukamtia cross wanne tukamupa
CCM ndo wamemkata sio wanadsmHata akipata uwaziri haijalishi bali kikubwa sisi wana dsm tumemkataa Bashite na hizi salaam zimfikie mteuzi wake.
Tulikuwa tunaongozwa na mtu tusiyo mpenda
Alafu hata mimi nlishangaa sana Makonda anakubalika sana huku UkongaMakonda hakufanya reseach vizuri. angeweza kugombea Kibamba au Ukonga ambako kulikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda kuliko kwenda kupimana ubavu na Mbunge anayemaliza muda wake huku akiwa bado anakubalika na wana ccm wenzake.
Halafu, alichokifanya siyo afya kwa chama.
Bahati nzuri woote kutoka KahamaMida hii Jimbo kawe wameanza kunadi Sera zao
Gwajima
Pascal
Mashinji
Mtapenya kwenye tundu ka sindano
Wait
Wakiingia tano bora sijuiMida hii Jimbo kawe wameanza kunadi Sera zao
Gwajima
Pascal
Mashinji
Mtapenya kwenye tundu ka sindano
Wait
Iko live