johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katoka kujieleza, Ingawa ktk kujieleza Kwa haraka na Kwa kupangilia hoja, wengi Sana hawawezi, kaonekana kama sio Mayala mbobezi na nguli ktk habari aisee!!!Pascal Mayalla si alitia nia?? Matokeo yake vipi wadau🤣🤣
IlaniIlani au katiba?
[emoji28][emoji28][emoji28] nadhani wamempa muda mzuri wa kula bata sasa. Acha akomae na duniahahahaha eti yeye ndo anakula raha kuliko mtanzania yoyote.
jamani prof palamagamba kabudi vipi hukooooo?
Kuna Dogo wa Kamanda wa polisi wa Zamani Lucas Nghoboko alitia Nia kule, Sijui matokeo Yake; NIlisoma naye Kabla sijakuja Ughaibuni.
Kishapu ni hali mbaya Mnoo, Nilikuwa nikienda nakaa kwao sana, yani hali sio nzuri kabisa;
Kimwili kila kiroho yupo na Halima mdeeKumbe yupo kwenye mbogamboga?
Ahadi ya Samia Suluhu ya 50M kila kijiji iliishia wapi?? aje atuambie kama kada wa chamaMwanaJf Pascal Mayalla ameahidi kugawa sh milioni 10 kwa kata zote za Kawe endapo atachaguliwa kuwa mbunge.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Unangoja meli airport?
Kumbe huyu Jamaa kichwa hamna kitu.....MwanaJf Pascal Mayalla ameahidi kugawa sh milioni 10 kwa kata zote za Kawe endapo atachaguliwa kuwa mbunge.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!