Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Amesema hizo milioni 10 atazitoa wapi? au ndio anautaka ubunge kupitia wafadhili halafu baadae arudishe vya watu?
 
Huyu Kippi Warioba si alipewa Ubalozi baada ya kuhenyeshwa na Mdee, karudi tena Kawe..!!
 
kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
 
Back
Top Bottom