Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Alipata ajali, uzi upo hjmu utafute anaelezea habari yoteUle mkono wake wa kushoto vipi?
Jimbo la Kwela mkoani Rukwa, nani anayo matokeo aseme?
Natamani kujua na mie khaaahBabu tale vipi?
Sasa kama ana KIINUA mgongo cha TZS 240 million (niko tayari kusahihishwa kama nimekosea) akiamua TZS 100 million kuingiza jimboni ni sawa vile vile[emoji23][emoji23][emoji23]kajamaa kanaleta sera za uongo balaaa
Unazungumza kitu muhimu sana , lakini muda umefika tuzungumzie issues na sio watu, mtandao wetu unapaswa uwe juu kuliko kushinda kuzungumzia watu tuu.Halafu haelewani na DC Ubungo. Yaani kiujumla wasaidizi wake hawako happy hivyo support hana kabisa. Mtu mwenye akili na utashi huwezi kumuunga Makonda mkono hata kidogo. Uongozi kwake aliutumia sana kujijenga yeye na kujiona wa juu kuliko wote. Clips zake hazina heshima kabisa. Kiburi kikubwa kwa wakubwa zake wengine kisa eti amebebwa kwenye Mbeleko. Iko siku itakatika.
ChaliiiiiihBashite
Asante kwa taarifa so bwana chami.amekimbiaMoshi vijijini Kuna Ester Mmassy na Victor Tesha ambao watachuana vikali. Wengine hawana nguvu.
Ubungo yupo Emmanuel Maluli huyu ni Katibu wa Hamasa kata ya Makuburi.
Mwingine ni Cypirian Mrema ambaye Ni mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo.
Pia yupo Kitila Mkumbo. Wengine siwajui
kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
Kuna mwenye report hizi full za Maswa Magharibi kuna Bossi wangu wa zamani Mashimba Masahuri Ndaki, ndo alikuwa mbunge hapo inamaana kapigwa chini? Ameshindwa kwa kura ngapi? Alipata kazi Canada mwaka 2009 Akachomoa, offer $136,000. Akapata Ubunge 2010 then 2015 akapata tena.Maswa Magharibi
Stanslaus Nyongo - 309
Peter Bunyongili - 209