Safiiii umemtoa kimaso maso huyu buku 10 wa makonda khaaaaashNi wajibu wa serikali kupeleka maendeleo kwenye jamii bila kubagua na bila kuangalia ushawishi wa mbunge kwa sababu maendeleo yanachangiwa na kodi za wananchi na sio pesa ya mfukoni mwa rais au bashite
Vilevile wananchi wanapololipa kodi huwa hawachagui ushawishi wa mbunge ila wanatimiza wajibu wao kama raia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heeeeh huyu Nkurunzinza imekuaje tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila [emoji1241] kuna kila aina ya kituko khaaaaaaah.Biharamulo
1. Dr Sebuyoya Nkurunzinza - 194
2. Ezra Chiwelesa- 113
3. King - 46...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani leo nna furaha isiyo kifani mweeh,. Afu vip huko home kwa jenista na Dr Ndumbaro matokeo yakoje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaishiwa nguvu hapo haamini anachokiona namba zimegoma,
Nani alikwambia CHADEMA ina hali mbaya kisiasa? Tunamwomba mwenyekiti wenu hivi hivi alivyoanzisha kura za uwazi iwe hivyo na uchaguzi mkuu, tuone kidume ni nani!Inashangaza sana Chadema badala mfikirie hali yenu mbaya ya kisiasa mnawaza matokeo ya Ccm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani leo nna furaha isiyo kifani mweeeeeeh,. Afu vip huko home kwa jenista na Dr Ndumbaro matokeo yakoje.
Nahitaji kujua sanaah ya jenista maan mmmmh hana mpinzani wa kweli, ila mahtaji kujua uwingi wa kura kwake.Sijayaona ngoja tusubiri.
Safiiii umemtoa kimaso maso huyu buku 10 wa makonda khaaaaash
Makonda kashapigwa za uso vijana wake humu wamebaki kulialia tu
Huko Bariadi hakuna kijana kichaa kama Kibajaji. Manake wasomi kama hawa wanakuwa awaangushwi na wasomi na wazee wenzao!!Ni kweli huyu Andrew chenge amechaguliwa kweli ama ni figisu..#shame bariadi
Mbona umeishiwa pumzi. Mbona hufanyi updates za kutosha. Mfano, jimbo la Chemba hujaweka matokeo ya kura kwa wote walioomba. Weka matokeo yakiwa full.
Kumbe maendeleo yanaletwa kwa kuongea na Rais!kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
Hao wajumbe wa ccm wametokea mbinguni au? Hujui tunaishi nao na kukaa nao majumbani?Wewe hauhusiki.
Wajumbe wa CCM ndo wahusika.
Duuu Malocha kapigwa za shingo?DEUS kaongoza akifatiwa na Justine then Malocha wa tatu
Maeneo ya mipakani mwingiliano wa makabila ni mkubwa ni kitu cha kawaida kukuta Onyango jaluo mtanzania wa Tarime na Onyango jaluo MKENYA wa wa kisumu kenyaHeeeeh huyu Nkurunzinza imekuaje tena? kuna kila aina ya kituko khaaaaaaah.