Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Huyu ndo anachuana na gwajima...mashinji hadi saiz sijamsikia
Kaacha uchuuzi wa sembe?Huyu ndo anachuana na gwajima...mashinji hadi saiz sijamsikia
Akipigwa za shingo humuoni humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee acha tyuuuuh, namsubiri baadae humu ndani khaaaaah
Dogo atapata uteuzi tuu!Naona hapo mtoto wa Pinda alitaka atembelee nyota ya dingi yake jamaa wakamnyoosha bila shida.
Tupo bizze na mchakato wa uchaguzi, subiri mchakato ukishaisha utapewa majibu, usinitoe nje ya [emoji2927]Samahani mkuu hivi wewe Me au Ke,Samahini lakini..
Dr Ndumbaro kapitaNahitaji kujua sanaah ya jenista maan mmmmh hana mpinzani wa kweli, ila mahtaji kujua uwingi wa kura kwake.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] lazima aje tyuuuuh, atake asitake .Akipigwa za shingo humuoni humu
Nakubali mkuu,watoto wa makada wanakula vyeo hivi vya u-das/dc sio mchezo.Niliona mtoto wa Jaka Mwambi majuzi kapewa shavu,jana mtoto wa Zelothe Stephen nae kalambishwa U-das.Dogo atapata uteuzi tuu!
Duuuiih hongera yake mmmmh.Dr Ndumbaro kapita
Mbona mayalla simsikii kunani tena...
Ngoja nisubiri huu mchakato huishe maana daaah..🤕🤕Tupo bizze na mchakato wa uchaguzi, subiri mchakato ukishaisha utapewa majibu, usinitoe nje ya [emoji2927]
Huyu Mama ndio habari hapo na Yusuph Mwenda huyu msimzarauTena ndo anawakimbiza balaaaa, alaf kuna mjuba anaitwa David Kayuni naye hatari.
Ila mama yetu Angela charles Kiziga anawapiga counter attack Ya kufa mtu.
Hata JF ataangukia pua mapema tu..Mayalla asubiri jimbo la Jf😆😆
Huyo mama akipita... Halima atamgararagazaHuyu Mama ndio habari hapo na Yusuph Mwenda huyu msimzarau
Gwajima hawampi ccmHuyu ndo anachuana na gwajima...mashinji hadi saiz sijamsikia
Poaaaaaah na relaaaaaaaaaaax.Ngoja nisubiri huu mchakato huishe maana daaah..[emoji856][emoji856]
Khaah cocastic kwani PhD ina nini kisura wangu?