Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Huyu ndo anachuana na gwajima...mashinji hadi saiz sijamsikia
Tena ndo anawakimbiza balaaaa, alaf kuna mjuba anaitwa David Kayuni naye hatari.
Ila mama yetu Angela charles Kiziga anawapiga counter attack Ya kufa mtu.