Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hajaamini macho yake 🤣Nakuona jane lowassa
Pana ukweli hapa.Waislamu watamtosa balaa kutokana na matamshi yake
Huko hawezi kwenda sababu utakuta hata hajulikani kabisa zaidi kumsikia na kumuona kwenye runinga..Sitta angeenda urambo!
2Mashinji kapata kura ngapi? Huyo dereva wa maroli Mdee atampatia kichapo takatifu.
Mpango kaula, kigoma mjini alikuwa ninani mtetea kiti?Mkoa wa Kigoma
Kigoma Mjini
Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Isidor Mpango 297
Albert Ntabaliba Obama 76
Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51
Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10
Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.
Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13
Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
Kweli kabisa,
Gwajima atammudu Mdee kuliko huyo Furaha Dominic.
Inategemea na sehem, kwenye wagombea wengi hukaa mda mchacheNimefatilia kiasi chaguzi kadhaa hizi za mchujo na kuona wagombea wakipewa muda wa kati ya dakika 1-3 kujinadi kwa wapigakura wao na hatimaye kutakiwa kuombakura.
Wakuu ninapata shida kuelewa ni kwa namna gani unaweza kutumia dakika moja au hata hizo 3 kushawishi mtu na kuhamasika kumpigia mtu kura.
Nachokiona hapa watu tayari wanakuwa na wagombea wao 'mifukoni' na kinachofanyika ni kukamilisha ratiba tu au mnasemaje?
Ubaya naouona wa mfumo huu wa 'ivisha maharage fastafasta' tunaweza kuwa tunapoteza wagombea wazuri kwa sababu watu hawapati muda wa kusikiliza na kupembua hoja za hawa wagombea.
Mtu pekee anayeweza kupambana na upinzani Dar es salaam na kushinda kihalali jimbo lolote lile ni Tarimba Abbas, Idd Azan na Zungu wa Ilala hao pekee ndio wanaweza kushinda jimbo lolote Dar es salaam kupitia CCM wengine itakuwa mbeleko tu...Dar inawenyewe kweli watoto wa mjini..
Zitto KabweMpango kaula, kigoma mjini alikuwa ninani mtetea kiti?
Kwani hakupata kiinua mgongo?!
Tutakosaje mkuu hii ni Tanzania yetu[emoji38][emoji38]
Kweli kabisa,
Gwajima atammudu Mdee kuliko huyo Furaha Dominic.
Hamna kitu hapa.Huyu ndo Komredi Furaha DOMINICK JACOB
View attachment 1512845
Jitu Patel kaangukia pua jimbo la babati vijijini
Huyo Gwajima anawapelekesha kondoo wake kwa namna yoyote ile anayoitaka yeye na bado wanamuamini.Kwa jaribio hili na alivyo waaminisha kondoo wake kuwa atashinda huu uchaguzi, basi kuna kondoo watahama kwenye zizi lake.