barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Katambi katambishwa sio? Safi sana sana
Wakudadavuwa vipi kafanikiwa kutetea jimbo lake?
Kwamba Yule jamaa alikuwa PSU ametoboa? Maana alitia Nia kule(Daqaro)
Huyo mtoto wa Lowasa hajawahi kuhama chama. Bali babake ndiyo harlot. Kosa la baba usimtwishe baba.Jee hiyo Familia ya Lowassa, unawaitaje.
Nawe naona unapumua sasa maana ulijua mdee kibarua kiota nyasi, Kawe anakuja gwajima, tulia wewe! Kwa raia ambao ndio wapiga kura mdee hana nafasi kwa gwajima.Kudadadeeeki, mshaanza kutetemeka na hapo bado mepera mpera wenyewe ndiyo kwaanza unaanza.
AiseeHuyo dereva wa malori anaweza kuhongwa papuchi na ali IMA akaachia jimbo
Kashinda mmama anaitwa Esther ,yule mama mwingine (gekul )aliyetoka chadema naye kaangukia pua
Babati Vijijini? Daqaro alitia Nia Vijijini; Kina Gekul nadhan ni Town Pale.Kashinda mmama anaitwa Esther ,yule mama mwingine (gekul )aliyetoka chadema naye kaangukia pua
Huyo dereva wa malori anaweza kuhongwa papuchi na ali IMA akaachia jimbo
Nawe naona unapumua sasa maana ulijua mdee kibarua kiota nyasi, Kawe anakuja gwajima, tulia wewe! Kwa raia ambao ndio wapiga kura mdee hana nafasi kwa gwajima.
Wakuda wote wanapitia kipigo kitakatifu.ESTER MAHAWE 91
WEREMA CHAMBILI 77
PAULINA GEKUL 61
Wasaliti wote kazi wanayo
Sasa kama kashindwa na kijana asiejulikana hapo CCM atamuweza mdee anaejulikanaNawe naona unapumua sasa maana ulijua mdee kibarua kiota nyasi, Kawe anakuja gwajima, tulia wewe! Kwa raia ambao ndio wapiga kura mdee hana nafasi kwa gwajima.
Wakuda wote wanapitia kipigo kitakatifu.
Wakimpitisha sawa ila hama haiba na hana mtaji wa wapiga kura. Jimbo la kawe lipo hadi mabwepande hadi huko salasala na madale huko ndani msigani na kazaroho...huko mwenye mtaji wa hawa wapiga kura ni gwajima! Wanamkua vizuri huko na ana wafuasi tele...kama watampitisha mwingine ni maamuzi yao ila wajue tofauti na hapo mdee wa kumtoa kawe ni gwajima.Tusubiri tuone je kama alieshia nafasi ya pili ndio atapitishwa au ni huyo huyo alienda kura ya maoni.
Sasa kama kashindwa na kijana asiejulikana hapo CCM atamuweza mdee anaejulikana
Kuna busara ya kikao cha watu 24, kuna kushinda pale kawe ndani ya sisiemu na kuna kushinda jimbo la kawe.Sasa kama kashindwa na kijana asiejulikana hapo CCM atamuweza mdee anaejulikana