Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Nimefurahi sana mwakyembe kupigwa chini. Huyu hastahili hata huruma! Nilienda kyela sokuini jamaa amekuwa mbunge kwa miaka kadhaa ila kyela hovyo kabisa... huyu hafai bora wanakyela wameamka...
 
Huyu hapo chini nadhani yupo wodini anataka kung'olewa jino maana siyo kwa kuachama huko
Katambi katambishwa sio? Safi sana sana
FB_IMG_1595334876930.jpeg
 
Kudadadeeeki, mshaanza kutetemeka na hapo bado mepera mpera wenyewe ndiyo kwaanza unaanza.
Nawe naona unapumua sasa maana ulijua mdee kibarua kiota nyasi, Kawe anakuja gwajima, tulia wewe! Kwa raia ambao ndio wapiga kura mdee hana nafasi kwa gwajima.
 
Gwajima labda utampitisha wewe, wapiga kura wanamtaka Afuraha mjomba wa Jiwe
Nawe naona unapumua sasa maana ulijua mdee kibarua kiota nyasi, Kawe anakuja gwajima, tulia wewe! Kwa raia ambao ndio wapiga kura mdee hana nafasi kwa gwajima.
 
Tusubiri tuone je kama alieshia nafasi ya pili ndio atapitishwa au ni huyo huyo alienda kura ya maoni.
Wakimpitisha sawa ila hama haiba na hana mtaji wa wapiga kura. Jimbo la kawe lipo hadi mabwepande hadi huko salasala na madale huko ndani msigani na kazaroho...huko mwenye mtaji wa hawa wapiga kura ni gwajima! Wanamkua vizuri huko na ana wafuasi tele...kama watampitisha mwingine ni maamuzi yao ila wajue tofauti na hapo mdee wa kumtoa kawe ni gwajima.
 
Back
Top Bottom