Mathayo katisha katika jimbo la musoma Mjini

Katika Jimbo la Musoma Mjini, Verdastus Mathayo ameongoza kura za maoni kwa kupata kura 220, akifuatiwa na Juma Mokili ambaye amepata kura 122, huku wagombea wengine 34 wakipata kura sifuri kati ya watia nia 64.
 
Sasa hivi ataanza kukumbusha alivyo lishwa sumu ili kuvuta huruma za wananchi
Banyambala hawataki mambo ya kijinga jinga kujikweza kuwa yeye ni bora kuliko waliomchagua!! Sasa aende akale hizo degree zake za mature age!!
 
Adui muombee njaa na maradhi ya akili
Insemekana mshindi ni mpwa wa Baba.
Mshindi wa pili nae ni mzuri. Alikuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
Gwajima hana kitu. Sana sana atagawa kura kutokana na imani za watu na madharau yake.
 
Unatumia kigezo gani kusema Tulia lazima ashinde? Kwanini Sugu asishinde?
Mkuu, Sugu kushindwa lazima figisu ifanyike ya uhakika. Yawezekana atakayetangazwa mshindi akawa Dr Tulia lakini lazima kila aina ya hila ifanyike.
 
Nawaona vijana wangu wamejaribu hapo (Fred Magadi na Wembe Jeremiah), hamtatoka bure hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…